Unarudi kwenye ujinga wako na nani?Huo ndio ugonjwa wetu, akija kocha mpya wachezaji wanakuwa serious sana, baada ya mechi kadhaa tunarudi kwenye ujinga wetu.
waleteni hao liverkukuKuna namna Man u kwanye izi game mbili wanacheza yaan kila mchezaji anafahamu majukumu yake hasa kwenye kushambulia na tukiwa na mpira....#Tutawashangaza
Sent using Jamii Forums mobile app
Be positiveHuo ndio ugonjwa wetu, akija kocha mpya wachezaji wanakuwa serious sana, baada ya mechi kadhaa tunarudi kwenye ujinga wetu.
Ole utoto mwingi. Anacheza na kima... hapendi kutoa kasoro anasifu tuSitasahau kipindi ole anaingia mlipiga Hadi come back Kule psg ya kina Neymar....lakin Leo ole Yuko wapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]man u nguvu ya soda tu ikishafunguka pfuuuuuuuu hmana issue Tena [emoji23]
Bonge la uziAway kit...bonge la kitView attachment 2292790
Huyu uzi mkali, uko [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Away kit...bonge la kitView attachment 2292790
Barca wahuni sana kwenye hela,hawataki kumalizana na dogo ,Xavi names seven players he wants out with Frenchie de Jong in ruthless Barcelona overhaul.
Frenchie anang'angania nini hatakiwi
Una mwanasheria!? HahaaaMatusi yote hayo unaonekana umepigwa Hadi kwenye mshono ...who care about Europa ,timu linaenda kucheza alihamis futuhi day [emoji23]
Hapa tu nisiwe mnafiki, adidas kasuka "kitu". Uzi mtamu Sana, utendewe tu haki uwanjani!Away kit...bonge la kitView attachment 2292790