Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,743
Haya maneno mkiendelea kuongea tweeter ndio yatafanya wachezaji wa Liverpool wakikutana na man u sio mbinu za kocha Tena ni afe beki afe kipa[emoji23][emoji23][emoji23]kiufupi Kila mtu atakuwa na hasiraHivi hawa Liverpool walitufungaje goli 5 bila msimu ulioisha?
Natamani ligi ianze mapema,tushampata nahodha wa jahazi letu,EtH.
Kuna watu hapa watasema ni maandalizi tu,shauri yao bana,sisi tunahesabu kikombe cha kwanza hicho kwa msimu huu.
EtH SIO Ole mkuu.Haya maneno mkiendelea kuongea tweeter ndio yatafanya wachezaji wa Liverpool wakikutana na man u sio mbinu za kocha Tena ni afe beki afe kipa[emoji23][emoji23][emoji23]kiufupi Kila mtu atakuwa na hasira
Uruguayan Lakaka😂Mmecheza vzr, inaonesha kuna structure inajengwa,
Yule dogo pelistri nimemkubal na yule zidan
Kuna wwatu wanabeza ila Kuna structure unaiona ,mfano degea kuanzisha mpira chini , mabeki wakati kupandisha timu juu ,
All in All bado yule Nunez nawasiwasi nae , ukizingatia Ni one season wonder ,kwa epl anakazi
Muda utaongea..Mmecheza vzr, inaonesha kuna structure inajengwa,
Yule dogo pelistri nimemkubal na yule zidan
Kuna wwatu wanabeza ila Kuna structure unaiona ,mfano degea kuanzisha mpira chini , mabeki wakati kupandisha timu juu ,
All in All bado yule Nunez nawasiwasi nae , ukizingatia Ni one season wonder ,kwa epl anakazi
Man U kwa kuongea tu hua mpo vizuri,shida uwanjani sasa, wachezaji wanatetemeka miguu 🤣🤣Hivi hawa Liverpool walitufungaje goli 5 bila msimu ulioisha?
Natamani ligi ianze mapema,tushampata nahodha wa jahazi letu,EtH.
Kuna watu hapa watasema ni maandalizi tu,shauri yao bana,sisi tunahesabu kikombe cha kwanza hicho kwa msimu huu.
Mmecheza vzr, inaonesha kuna structure inajengwa,
Yule dogo pelistri nimemkubal na yule zidan
Kuna wwatu wanabeza ila Kuna structure unaiona ,mfano degea kuanzisha mpira chini , mabeki wakati kupandisha timu juu ,
All in All bado yule Nunez nawasiwasi nae , ukizingatia Ni one season wonder ,kwa epl anakazi
Eric Baily ameanza vizuri pre-season. Back yetu ya kushoto haifanyi marking vizuri. Elanga anahitaji kutulia mbio tu halitosis. ETH yupo vizuri, ule utoto utoto utaisha maana sura yake tu isiyo na mzaha inapeleka message ya kutosha kwa wachezaji.
Hivi hawa Liverpool walitufungaje goli 5 bila msimu ulioisha?
Natamani ligi ianze mapema,tushampata nahodha wa jahazi letu,EtH.
Kuna watu hapa watasema ni maandalizi tu,shauri yao bana,sisi tunahesabu kikombe cha kwanza hicho kwa msimu huu.
Makocha mara nyingi hupenda kuwatumia wachezaji waliowapa mafanikio. F de jong akiwa pale Ajax kabla ya kwenda Barcelona ndio alikuwa engine ya timu na kuipeleka Ajax mpaka kucheza nusu fainali ya UCL na kupoteza kwa spurs ya Pocchetino.Hivi Ndugu Yangu Tuongee Tu Ukweli...Hivi Ni Kweli Kabisa Hakuna Midfielders Wengine Wazuri Kama De Jong Au Walio Vizuri Zaidi Kuliko Yeye?... Midfielders Kama Sergej Milinkovic Savic, Youri Tielemans Na Ruben Neves Hivi Hawana Ubora Ambao De Jong Anao? Tena Usikute Wote Hawa Wanamzidi Jamaa...... Hivi Ni Majukumu Gani Hayo Ambayo ETH Anataka Kumpa De Jong Ambayo Mifano Ya Hao Watu Watatu Apo Hawawezi Kumuelewa, Kwa Akili Gani Walizokuwa Nazo??.... United Wanalazimisha Tu Hili Dili Na Barca Na ilhali Barca Hawako Tayari Kufanya Biashara Nao Kama Kweli Barca Wapo Serious Na Hili Dili Lingeshaishaga Kitambo... Na Pia De Jong Mwenyewe Priority Yake Ni Kuendelea Kubaki Pale...Hivi Vp Wakimsajili Then Akaja Kucheza Utumbo Pale United, Jumlisha Muda Waliopoteza Kuhangaika Na Usajili Wake Pamoja Na Ada Ya Uhamisho Wake Ambayo Bila Shaka Itakuwa €85M Huo Si Ndio Utakuwa Ubogus Wenyewe Sasa.....Kwenye Hili Suala United Is Just Getting Me Pissed Aisee!
Second half timu ipi ilechezesha team B? Ile mechi ilikuwa vice-versa kipindi cha kwanza United walianza seniors Liverpool wakaanza team B wakapigwa 3 cha pili United wakaingia team B Liverpool wakaingia seniors wakagongwa kimoja cha nguruwe. [emoji23]Yupo vizuri baada ya kuwafunga timu B pre season? Mbona socha Van gal nao walifanya ivo ivo[emoji23][emoji23] tulia muombe sana ETH awavushe salama[emoji3037]
Achana na sisi wewe,tuache tufurahi japo kwa kidogo tulichonacho,yaani tufungwe tunune,tushinde tunune pia????kwendraaaaaaaa,Yupo vizuri baada ya kuwafunga timu B pre season? Mbona socha Van gal nao walifanya ivo ivo[emoji23][emoji23] tulia muombe sana ETH awavushe salama[emoji3037]
Huyu ndio kocha wa mpira sasa. Pamoja na kushinda lakini bado anatafuta makosa ya wachezaji na timu kiujumla.
Kwangu mimi ikitokea hadi hii project ya EtH nayo imefeli,basi nitakuwa tayari kukubali kuwa mpira ni zama na ya kwetu itakuwa imepita kama ilivyopita ya Nottingham forest,arsenal,n.kDah nae sosha ndo halizingua hata kakombe kama aka kashindwa kubeba[emoji16][emoji16]View attachment 2288540