Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu Chief-Mkwawa hivi kuna uwezekano wa ericksen kucheza kwa pamoja na Fernandez ndani ya mechi moja.

Maana naona viwango vyao kama ni vile vile tu wote ni wazuri kwenye kutengeneza nafasi.

Nipe takwimu zako mkuu kama wanaweza cheza pamoja.
Wanacheza mkuu, kuna Mifumo mingi sana na mechi za kutosha. Eriksen anaweza cheza pembeni, no ya Bruno ama kiungo wa kawaida.

Siku unacheza na watoto wamepaki basi unawatupia tu wote humo ndani, siku mechi kubwa unahitaji kupress mmoja anakaa benchi kupisha kina fred etc.,
 
Mkuu ukiishiwa matusi (ya kumtukana) niambie nikuazime.
 
“Which team do you look forward to playing most this season?”

Erling Haaland: “I don’t like to say the words but… Manchester United, yeah.”

@Manchester_Utdfc
 
“Which team do you look forward to playing most this season?”

Erling Haaland: “I don’t like to say the words but… Manchester United, yeah.”

@Manchester_Utdfc
Dahh tunadharaulika Sana
 
Vipi de jong unamuona hakicheza namba ngapi.
 
Mkuu Chief-Mkwawa hivi kuna uwezekano wa ericksen kucheza kwa pamoja na Fernandez ndani ya mechi moja.

Maana naona viwango vyao kama ni vile vile tu wote ni wazuri kwenye kutengeneza nafasi.

Nipe takwimu zako mkuu kama wanaweza cheza pamoja
Pep system hiyo, Double 8/10


Lazima uwe na kiburi
 
Kikosi ni kilekile mbele mgeni ni mmoja tu..Tusitegemee makubwa(Overexpectation) badae tuje kuanza kutukana All in all naomba tutoke draw na kama tutaelemewa zaidi basi watufunge kwa handicap ya goli 1 tu sio tutoke 3-0,4-0 ni aibu
 
Hata kama liva fool atatupiga lakini sio kizembezembe.




paul dyabala tunamuachaje ikiwa ni free agentplayer?
 
Ten Hag confirms Harry Maguire will be Manchester United captain for the season.

"I have to get to know all the players, but he's an established captain and he's achieved a lot of success."

#MUFC

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ofcourse hata wewe ungemuachia ukapten yeye.


Habari za chini ya zulia ni kwamba msimu huu 23/24 atagombea namba ukaptein sio ishu. Muhimu namba, Kwanza. Akiwekwa nyama chini bench atakuwa Hana namba na bado uhitaji wa beki wa kati unaenda kwa Kasi. Akija beki yeye basi kabisa hata bench atakuwa anagombea, hapo timu za kina Barca zitakuwa zinamuwinda.

Kwa nn umnyanyase MTU bana na ugeni wote huo. ETH wa watu atakupa chance.. RR mwenyewe aliishaanza kumuweka benchi. Japo tuliendelea kulamba mchanga.
 
Erik Ten Hag's Pre-Match Press Conference - United v Liverpool, Pre-Season, Bangkok - 12-July

Laurie Whitwell


Ten Hag: "We are planning with Cristiano Ronaldo for this season, that's it. I am looking forward to working with him. He hasn't told me this. I have read [he wants to leave]. We want success together"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…