Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ni Man Utd pekee iliyoanza pre season?

Au kuna timu nyingine ya EPL nayo imeanza?
 
Ronaldo ataondoka lkn mpeni heshima yake.... laiti angeenda Manchester city na kuwapa UCL leo mgemuita msaliti na mgeanza kulaumu kwann hatukumsajili
Huu ndio uchizi sasa
Itokee timu ipambane alafu useme cr7 kawapa UCL!!!

Mbona hiyo UCL hajawapa nyie??

Ushindi wa UCL ni effort ya timu nzima.
 
Kwa hii tarifa ya Fabrizio romano naona rasmi jamaa anaondoka huyu maana naona haondoki na timu kesho kwenda kwenye tour huko Bangkok.

[emoji599] | 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄: Cristiano Ronaldo

Cristiano Ronaldo will not travel with Manchester United to Bangkok for the start of the pre-season tour [emoji837][emoji1201]

[emoji3503] Cristiano won’t be part of the start of the tour as he’s now “still dealing with family issues”.

[emoji3503] Manchester United accepted this situation as Cristiano has additional time off to deal with personal issues.

[emoji3503] His agent Jorge Mendes is still working to find a proposal in order to leave Manchester United this summer.

[emoji3503] Man Utd insist they want to keep Cristiano for next season but aware of his disappointment.

Where do you see Cristiano playing next year? [emoji93][emoji102]
 
Family issues??

Tusubirie tu offer yoyote huyu jamaa aondoke.
 
Kwangu naona tuna faida Cr7 akiondoka kuliko akibaki maana tupo kujenga kikosi tunaitaji wachezaji wenye hawana majina.
Hata akibaki atasugua benchi na tutamtaka akaicheki familia yake maana hatutamtumia. We need devoted players.tutamtumia alitaka Kwa option ya sio starter
 
sikubaliani na description ya style ya uchezaji tuliyoanza nayo 2021/22, correct description ni kwamba tulianza kucheza kwa kumuangalia Ronaldo yuko wapi apelekewe mpira afunge.

huko nyuma mchezaji alikuwa anapelekewa mpira afunge sababu timu ilikuwa inacreate counter attach situations, 21/22 ronaldo alikuwa anapelekewa mipira hata akiwa offside.

we became very predictable, and vulnerable to loosing possession, ndio kilichopelekea kujikuta tukiwa kwenye timu ya kushambuliwa kila wakati na kupelekea ku concede magoli mengi.

sikubaliani na mambo ya kuwa na weak defense pamoja na malalamiko dhidi ya maguire, sababu the same defense line, kabla ya ujio wa Ronaldo ilivunja record ya kutokufungwa.
 
Mike verweij (tier 1 kwa habari za :ajax) anasema : man utd wameongeza ofa yao kufikia euro million 50 na bonus kwa ajili ya lisandro martinez. Fahamu ajax wakiongozwa na mtendaji wao mpya klaas jan huntelaar waliwaambia arsenal na man utd ya kwamba mchezaji husika ana thamani ya euro million 50 na si vyenginevyo. Tujiandae na here we go?
 
Kwanini timu za ulaya haziji Africa kufanya pre season.

Nini tatizo Ukata, au miundombinu mbona South Africa, Algeria, Egypt zipo vizuri, hakuna cha ukata timu zikija zinajaza kweli na mzuka juu tena kuliko huko Asia.
I think ni mauzo mzee,miundombinu sidhani kama ni sababu..hata hao kina Egypt na SA bado kwenye uwezo wa kujaza uwanja kwa bei ya ticket zetu..
 
I think ni mauzo mzee,miundombinu sidhani kama ni sababu..hata hao kina Egypt na SA bado kwenye uwezo wa kujaza uwanja kwa bei ya ticket zetu..
Mauzo ya jezi sio? Basi uchumi uimarishwe na promo juu. Ikiwezekana wizara ya utalii idhamini timu hata mbili midi table ligi ikiisha waje kupiga pre season.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…