Hahahaa Jombaa u're disrespecting the legend. Una maoni kama ya Wayne Rooney alisema Pogba na Ronaldo wanapaswa kuondoka ili kujenga timu upya.huyu Ronaldo nilijaribu kumuelezea kutokea kwenye angle ambayo wengi hawakutaka kuitumia lakini nikiaishia kuitwa pro mesi na kutolewa kauli zingine za dhihaka.
huyu alichangia kwa kiasi kikubwa kuharibu trend ya mafanikio ya timu iliyopata msimu wa 2020/21, mchezaji wa aina yake hakuwa kwenye plans za OLE, na kimsingi alikuwa mzigo kwa timu kuliko msaada.
huyu alikwenda pale akiamini atatembelea nyota ya mafanikio ya 2020/21 kupata kick ya kuiwezesha timu kuchukua makombe, akaishia kumvuruga kocha na kila mchezaji.
kama ten hag anajielewa auachilie huu mzigo uondoke with immediate effect
Huwezi kuelewa.Hujui kama Ronaldo ndiye aliye mfukuza Ole kazi. Au mahaba yamediziBado nashindwa kuielewa mpaka leo hii nadharia yako kuwa Ronaldo ndiyo aliharibu timu msimu uliopita wakati wote tulishuhudia baadhi ya mechi bila Ronaldo nini kilitokea. Hivi Ronaldo alichangia vipi defense yetu kuwa mbovu?
Last season was a failure. Mnalazimisha tu kutumia kivuli cha Ronaldo kumbebesha fuko la misumari. Hakuna kocha au timu anakubali itakubali kumuachia mchezaji wao bora kirahisi huku bado ana mkataba, akilazimisha ndiyo atafunguliwa milango ila kishingo upande. Usitarajie Ten Hag kuwa na mawazo kama yako.
Hizi tetesi zilianza baada ya mazungumzo ya EtH na Ronaldo mwenyewe. Inasemekana Ronaldo ali-expect timu itaingia sokani kwa kishindo ila kinyume chake EtH alihitaji zaidi kuwaangalia wachezaji waliopo na kuongeza wachache with specific recommendations akiwemo De Jong.Simon stone na laurie whitwell wote wameripoti hii taarifa ya ronaldo, bila ya kumsahau mzee wa here we go ambaye mwanzoni nadhani alikanusha hii taarifa (sina uhakika). Mara nyingi fabrizio anafeli kwenye ishu nyeti au za ndani zaidi za klabu hususani manchester united
Mpe na ile ya Allegri
Hayo ni mahaba juu ya Ronaldo ndiyo yanayo kusumbua. Na Kwa taarifa yako ETH hato mtumia mara Kwa mara Ronaldo hata kama akibaki Kwa msimu huu.Na hicho cr7 kashakiona ndo maana maana ETH hataki ujingaHivi mnaposema hakuwa kwenye plan mnamaanisha nini? Timu ilihitaji magoli na Ronaldo ni striker. Iweje Cavani ambaye wote na Ronaldo wapo kwenye 30s mmoja nusu msimu yupo majeruhi halafu a fit Cristiano Ronaldo hayupo kwenye plan!!!
Mshambuliaji yoyote akimuona Ronaldo United anajua yeye atakuwa back up tu.kikwazo ni bajeti na upatikanaji wa mshambuliaji
Siku aliyosajiliwa nilisema wazi haukuwa usajili mzuri kwa United.Bado nashindwa kuielewa mpaka leo hii nadharia yako kuwa Ronaldo ndiyo aliharibu timu msimu uliopita wakati wote tulishuhudia baadhi ya mechi bila Ronaldo nini kilitokea. Hivi Ronaldo alichangia vipi defense yetu kuwa mbovu?
Last season was a failure. Mnalazimisha tu kutumia kivuli cha Ronaldo kumbebesha fuko la misumari. Hakuna kocha au timu anakubali itakubali kumuachia mchezaji wao bora kirahisi huku bado ana mkataba, akilazimisha ndiyo atafunguliwa milango ila kishingo upande. Usitarajie Ten Hag kuwa na mawazo kama yako.
hiyo paragraph ya mwisho umeielewa vipi, ok barca wanaweza kukataa pesa ya kumuuza de jong ila hawatakubali de jong aendelee kuramba euro laki 4 hadi 5 kwa wiki.Wakati mnatafakari kuhusu Kauli ya CR7, Kasikilizeni Interview ya Laporta leo , kasema Dejong anabaki
Barça president Laporta on de Jong: “There are many clubs that want him, not just Man United. We have no intention of selling him, he wants to stay”. 🚨 #FCB
“I'm going to do everything to keep Frenkie, but there’s also a salary issue and that would have to be adjusted”.
#MUFC https://t.co/zG4mmo6Rfj
ETH kasema wapi? Shida yenu ndiyo hiyo eleza ni kivipi Ronaldo kachangia tumekuwa na defense na midfield mbovu msimu uliopita.Hayo ni mahaba juu ya Ronaldo ndiyo yanayo kusumbua. Na Kwa taarifa yako ETH hato mtumia mara Kwa mara Ronaldo hata kama akibaki Kwa msimu huu.Na hicho cr7 kashakiona ndo maana maana ETH hataki ujinga View attachment 2279543
Nisome quotes za watu za nini? Hayo ni mawazo yao, wewe ukisoma hiyo sentensi ya kwanza tu ya Bonucci unaona shida ilikuwa kwa nani?Mpe na ile ya Allegri
Bado hauna points za msingi kivipi Ronaldo ni tatizo United. Kila mtu anajua kwanini Solskjaer alifukuzwa kama Ronaldo ndiyo alimuajiri Solskjaer sawa!Huwezi kuelewa.Hujui kama Ronaldo ndiye aliye mfukuza Ole kazi. Au mahaba yamedizi
Acha ujinga kijana.Kama kuondoka aondoke tu Cr7 uwa ana Ego flani ivi na mfaa maji haishi kutapa ata ayo magoli 18 ni kwasababu walimtengea tu mbona 2020/2021 na kina Rashford tukamaliza wa pili..AKITAKA ASEPE AKITAKA ABAKI
Ndo yale yale ya kung'ang'ania wachezaji kama Pogba,mtu akitaka kusepa mwache aende tu.Acha ujinga kijana.
Pale klabuni hakuna wa ku-replace magoli ya Ronaldo.
Hakuna mchezaji mwenye ari ya uchezaji kama Ronaldo.
Akipata timu yenye wachezaji sahihi anakupa magoli 25 bila shida pamoja na uzee wake.
Inshort United hakuna natural striker zaidi ya Ronaldo, akiondoka inabidi asajiliwe mwingine ambaye hawezi kukupa ubora kama Ronaldo ndani ya muda mfupi. Kocha anajua wazi na anamuhitaji.Acha ujinga kijana.
Pale klabuni hakuna wa ku-replace magoli ya Ronaldo.
Hakuna mchezaji mwenye ari ya uchezaji kama Ronaldo.
Akipata timu yenye wachezaji sahihi anakupa magoli 25 bila shida pamoja na uzee wake.
Mentorship ipi anatoa Ronaldo zaidi ya kuharibu career za madogo, wakati anafika hapo kulikuwa tayari kuna wide observations juu ya mapungufu ya Rashfod and Martial, character weaknesses, aliwasaidia vipi? sanasana kasababisha wamepotea zaidi, ameua kabisa their inner being.Hahahaa Jombaa u're disrespecting the legend. Una maoni kama ya Wayne Rooney alisema Pogba na Ronaldo wanapaswa kuondoka ili kujenga timu upya.
Binafsi namuelewa Ronaldo kuomba kuondoka. Faida yake kikosini ni zaidi ya uchezaji wake bali pia anatoa mchango mkubwa sana wa mentorship kwa vijana wadogo kama Alejandro Garnacho, Jadon Sancho.
Japokuwa kibinafsi namkubali sana Ronaldo na ningependa abaki ila kwa maslai mapana ya timu naombea aondoke, hii taarifa ni kama baraka iliyojificha kama kweli ataondoka. Na mtu atakayefurahia zaidi atakuwa ni Ten Hag.
Mfumo wa EtH naona kabisa Ronaldo angeweza kuwa kikwazo kwake. Na hata kama atabaki sioni akimuongeza mkataba mwakani.
Ubora upi alileta Ronaldo au ustriker upi?Inshort United hakuna natural striker zaidi ya Ronaldo, akiondoka inabidi asajiliwe mwingine ambaye hawezi kukupa ubora kama Ronaldo ndani ya muda mfupi. Kocha anajua wazi na anamuhitaji.
Ila uwepo wa Ronaldo unamnyima ETH muda wa kujenga timu kwa kutaka short term success. Ronaldo anajua United wanamtumia kwa muda mfupi wakati yeye hapati chochote zaidi ya pesa, so yupo sawa kuondoka.
Upo sahihi nduguSimon stone na laurie whitwell wote wameripoti hii taarifa ya ronaldo, bila ya kumsahau mzee wa here we go ambaye mwanzoni nadhani alikanusha hii taarifa (sina uhakika). Mara nyingi fabrizio anafeli kwenye ishu nyeti au za ndani zaidi za klabu hususani manchester united