D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,057
Tadic huyuhuyu aliyecheza EPL? Unaikumbuka mechi ya Man. City tulivyocheza na false 9 akiwa Bruno Fernandes!Dusan tadic atacheza vizuri zaidi kama false 9 kuliko bruno fernandez ikitokezea ronaldo ameondoka na tukashindwa kutafuta mshambuliaji
msimu waliofika ajax semi final kama nitakuwa sahihi tadic alikuwa anacheza false 9 chini ya huyo ten hag.Tadic huyuhuyu aliyecheza EPL? Unaikumbuka mechi ya Man. City tulivyocheza na false 9 akiwa Bruno Fernandes!
Wewe mgeni na mambo ya usajili naona mkuu wewe subiri de jong wiki inayokuja mali yetu ile.Wakati mnatafakari kuhusu Kauli ya CR7, Kasikilizeni Interview ya Laporta leo , kasema Dejong anabaki
[emoji599][emoji599] Laporta says Barça have “no intention of selling Frenkie de Jong, he wants to stay!”
Ni kweli ndugu yangu ,ila tambua Barca Kuna pesa ameanza kuipata , so Mambo yanabadilika muda wowote , waulize Chelsea kuhusu Raphina , wamebaki WANATOA machoWewe mgeni na mambo ya usajili naona mkuu wewe subiri de jong wiki inayokuja mali yetu ile.
Ukiwa huna ela kwenye kikao cha familia utaleta vurugu tu...ndio qnachokifanya Laporta hawana hela hao subiri uoneWakati mnatafakari kuhusu Kauli ya CR7, Kasikilizeni Interview ya Laporta leo , kasema Dejong anabaki
[emoji599][emoji599] Laporta says Barça have “no intention of selling Frenkie de Jong, he wants to stay!”
Wewe unajua dynamics na siasa za usajili, well done. Hiyo ni diplomatic propaganda tu ili Manure muongeze speed na dauWewe mgeni na mambo ya usajili naona mkuu wewe subiri de jong wiki inayokuja mali yetu ile.
[emoji23][emoji23][emoji23] LIONEL MESSIWakati mnatafakari kuhusu Kauli ya CR7, Kasikilizeni Interview ya Laporta leo , kasema Dejong anabaki
[emoji599][emoji599] Laporta says Barça have “no intention of selling Frenkie de Jong, he wants to stay!”
Alisema ivi ivi baadae ikawa kilio kwa watu[emoji23][emoji23][emoji23] LIONEL MESSI
Bora ronaldo asepe aisee tusajili vijana wenye nguvu
Mpumbavu mkubwa huyu Ronaldo...anajali tu mambo yake..huyu Ronaldo nilijaribu kumuelezea kutokea kwenye angle ambayo wengi hawakutaka kuitumia lakini nikiaishia kuitwa pro mesi na kutolewa kauli zingine za dhihaka.
huyu alichangia kwa kiasi kikubwa kuharibu trend ya mafanikio ya timu iliyopata msimu wa 2020/21, mchezaji wa aina yake hakuwa kwenye plans za OLE, na kimsingi alikuwa mzigo kwa timu kuliko msaada.
huyu alikwenda pale akiamini atatembelea nyota ya mafanikio ya 2020/21 kupata kick ya kuiwezesha timu kuchukua makombe, akaishia kumvuruga kocha na kila mchezaji.
kama ten hag anajielewa auachilie huu mzigo uondoke with immediate effect
Bado nashindwa kuielewa mpaka leo hii nadharia yako kuwa Ronaldo ndiyo aliharibu timu msimu uliopita wakati wote tulishuhudia baadhi ya mechi bila Ronaldo nini kilitokea. Hivi Ronaldo alichangia vipi defense yetu kuwa mbovu?huyu Ronaldo nilijaribu kumuelezea kutokea kwenye angle ambayo wengi hawakutaka kuitumia lakini nikiaishia kuitwa pro mesi na kutolewa kauli zingine za dhihaka.
huyu alichangia kwa kiasi kikubwa kuharibu trend ya mafanikio ya timu iliyopata msimu wa 2020/21, mchezaji wa aina yake hakuwa kwenye plans za OLE, na kimsingi alikuwa mzigo kwa timu kuliko msaada.
huyu alikwenda pale akiamini atatembelea nyota ya mafanikio ya 2020/21 kupata kick ya kuiwezesha timu kuchukua makombe, akaishia kumvuruga kocha na kila mchezaji.
kama ten hag anajielewa auachilie huu mzigo uondoke with immediate effect
Bado nashindwa kuielewa mpaka leo hii nadharia yako kuwa Ronaldo ndiyo aliharibu timu msimu uliopita wakati wote tulishuhudia baadhi ya mechi bila Ronaldo nini kilitokea. Hivi Ronaldo alichangia vipi defense yetu kuwa mbovu?
Last season was a failure. Mnalazimisha tu kutumia kivuli cha Ronaldo kumbebesha fuko la misumari. Hakuna kocha au timu anakubali itakubali kumuachia mchezaji wao bora kirahisi huku bado ana mkataba, akilazimisha ndiyo atafunguliwa milango ila kishingo upande. Usitarajie Ten Hag kuwa na mawazo kama yako.
Hivi mnaposema hakuwa kwenye plan mnamaanisha nini? Timu ilihitaji magoli na Ronaldo ni striker. Iweje Cavani ambaye wote na Ronaldo wapo kwenye 30s mmoja nusu msimu yupo majeruhi halafu a fit Cristiano Ronaldo hayupo kwenye plan!!!Tena mshahara wake tutalipa wachezaji watatu wapya,.Ila Man u tujifunze kutosajili wachezaji kibiashara,huyo ronaldo mwaka jana hakua kwenye plan,na huenda tungemtemea Cavani tungemaliza vizuri tu