Kheeeee kheeeeee Kheeeeeee kwenye hiyo Rambo uliyobeba kunani!? Nasikia unatembea na tindikali siku hizi hahahahahah lol!!!! eti unawavizia BAK na Mbu kwi kwi kwi kwi.....Mkuu tulizana banaaaa it is just a game mbona unanuna hivyo banaaaa....acha hizoooooo. Unafanya hata BelindaJacob aogope kupita huku siku hizi maana kumekuwa kama jukwaa la siasa...peace & harmony iliyokuwepo watu kutaniana, kukejeliana kwa vicheko taratibu inaanza kupotea.
Kheeeee kheeeeee Kheeeeeee kwenye hiyo Rambo uliyobeba kunani!? Nasikia unatembea na tindikali siku hizi hahahahahah lol!!!! eti unawavizia BAK na Mbu kwi kwi kwi kwi.....Mkuu tulizana banaaaa it is just a game mbona unanuna hivyo banaaaa....acha hizoooooo. Uaaya hata BelindaJacob aogope kupita huku siku hizi maana kumekuwa kama jukwaa la siasa...peace & harmony iliyokuwepo watu kutaniana, kukejeliana kwa vicheko taratibu inaanza kupotea.