Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Dah, nimecheka sana, hapo MOST RED CARD na YELLOW Card, Arsenal walikukosea nini
 
Hii habari ya ronaldo mwanzoni niliichukulia kuwa ni utani ila baada ya kuiona tweet ya david ornstein imenibidi nikae mkao wa kula kwa kujiandaa na lolote litakalotokezea, muandishi wa kwanza kuripoti hii taarifa ni duncan castle, jamaa ana ukaribu na wakala wa ronaldo ambaye ni jorge mendez. Hivi napoli wamepata nafasi ya kucheza uefa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…