Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,662
Tetesi za usajili zisiwape pressure...bora kuchukua wachezaji wenye njaa ya kuipigania man u sio wapigaji wanaofuata mpunga kama kina pogba
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaomba mwenyewee.Uzuri Van gaal alimpa mpaka onyo.Mbona jamaa anaonekana kama hataki hivi[emoji16]
Au wamemlazimisha aje kuifumdisha hii timu?
Tangu lini mwanaume akachekacheka,Kaomba mwenyewee.Uzuri Van gaal alimpa mpaka onyo.
Tusubiri tuone
Nachompendea huyu ETH ni kutumia vijana tutegemee kuona akina Mej Arab😂 Meaxence Melo, Dr Mengi Mbaoyakijani, Rashid Makame, na vijana wengine wakipandishwa kikosi cha wakubwaKaomba mwenyewee.Uzuri Van gaal alimpa mpaka onyo.
Tusubiri tuone
Jamaa kumbe upo?Tushasajili sana na hakuna lolote la maana, ni bora dirisha hili tusi sajili yeyote.
Fu.ck the formation..Na natamani sana astick na 433 msimu mzima
Mifumo ya kisasa hata haina formation moja, ndani ya mechi inaweza badilika hata mara 5, Kuna Formation ya kukabia, formation ya Build up, formation za counter etc.Fu.ck the formation..
Tunahitaji kucheza vizuri na soka linalovutia na kushinda mataji..whether it is 442,433,4231..
Sasa kama hatutasajili cdm,na kuna kila dalili hatutasajili,no way,tutakua vile vileeeFu.ck the formation..
Tunahitaji kucheza vizuri na soka linalovutia na kushinda mataji..whether it is 442,433,4231..
Ingawa waswas wangu ndo wale wale awb na tellesHaya mdogo mdogo,View attachment 2275605