Nachoona kwa upande wangu labda kocha hana mpango wa kuingia sokoni kwenye dirisha la msimu huu.De jong hachezi 10, sio kama Fernandez, Kipindi wanacheza ajax Van De Beek ndio alikuwa anacheza mbele kama kiungo mshabuliaji, na FDJ alikuwa nyuma.
Kwa sisi man U hatukuwa tukicheza na Regista ndio maana unaona kwetu idea ya regista si kubwa.
Ila angalia majirani zetu Chelsea Kante anacheza na Jorginho, huyu Jorginho si mkabaji ila anakaa Nyuma, Mount ama Havertz anakuwa mbele.
Sasa fikiria Mount kama Bruno na FDJ kama Jorginho.
Linabaki sasa swali la mwisho nani atakuwa kante wetu? patner wa FDJ ambaye atamkabia? Fred ama DM mpya?.
Kwa nafasi nyengine sawa, ila midfield ni tatizo mkuu, tuki re enforce hapo kwengine kunavumilika.Nachoona kwa upande wangu labda kocha hana mpango wa kuingia sokoni kwenye dirisha la msimu huu.
Labda kocha anataka kuingia na kikosi hiki hiki msimu mpya aanze nacho.
Maana Manchester sio kwamba tuna kikosi kabaya sana labda ni mbinu za makocha tu zilishindwa.
Mimi hata tusipo fanya usajili naona sawa tu maana wachezaji tunao kibao kwakuwa kocha ana jenga timu naona tu asitumie nguvu kubwa kwenye dirisha hili maana wachezaji wenye wapo haja fanya nao kazi hata kidogo.
Mimi naona msimu wa 2023/2024 ndo tunaweza kufanya cha maana kwenye usajili sio dirisha hili.
Aisee! Kama hawatapandisha viwango vyao, Desemba hatutafika na ETH.Nachoona kwa upande wangu labda kocha hana mpango wa kuingia sokoni kwenye dirisha la msimu huu.
Labda kocha anataka kuingia na kikosi hiki hiki msimu mpya aanze nacho.
Maana Manchester sio kwamba tuna kikosi kabaya sana labda ni mbinu za makocha tu zilishindwa.
Mimi hata tusipo fanya usajili naona sawa tu maana wachezaji tunao kibao kwakuwa kocha ana jenga timu naona tu asitumie nguvu kubwa kwenye dirisha hili maana wachezaji wenye wapo haja fanya nao kazi hata kidogo.
Mimi naona msimu wa 2023/2024 ndo tunaweza kufanya cha maana kwenye usajili sio dirisha hili.
Iko hivi,ten hag pale kati ni DE JONG,VON DE BEEK,BRUNO....piga ua garagazaNachoona kwa upande wangu labda kocha hana mpango wa kuingia sokoni kwenye dirisha la msimu huu.
Labda kocha anataka kuingia na kikosi hiki hiki msimu mpya aanze nacho.
Maana Manchester sio kwamba tuna kikosi kabaya sana labda ni mbinu za makocha tu zilishindwa.
Mimi hata tusipo fanya usajili naona sawa tu maana wachezaji tunao kibao kwakuwa kocha ana jenga timu naona tu asitumie nguvu kubwa kwenye dirisha hili maana wachezaji wenye wapo haja fanya nao kazi hata kidogo.
Mimi naona msimu wa 2023/2024 ndo tunaweza kufanya cha maana kwenye usajili sio dirisha hili.
Yaani mkuu kwa jinsi wakina glazer wanavyokula hela,usije ukaona huruma kununua wachezaji gharama,hata kwa FDJ ikilia milion 100 sawa tu hata haiumiHuyu FDJ ni miongoni mwa viungo adimu sana kiasi kwamba hata Barca wakitaka 150 tuwapatie tu.
Mkuu Chief-Mkwawa kwanini unamfananisha FDJ na McTominay? Inawezekana vipi hii mkuu?
Piga ua,pale kati ni FDJ,VON DE BEEK,BRUNO/ERICKSEN.....then sancho,ronaldo,antony/rashfordHili nalo neno mkuu, FDJ anacheza kushoto, McTominay uchezaji wake ni kama FDJ aliechoka, same type of players, maybe Tutacheza Diamond ili ku wa Accomodate wote FDJ na Fred. Ngumu sana kujua Huyu kocha anaplan nini. Ngoja tuone.
Mkuu tutakuwa na kiungo laini hakijapata kutokea.Iko hivi,ten hag pale kati ni DE JONG,VON DE BEEK,BRUNO....piga ua garagaza
Mpaka hapo umeona hana sifa za DM ila ni CM sema anacheza deep tu.Schone hakucheza Nyuma ya FDJ Ajax alikuwa mbele ya FDJ, De jong ni regista kama Pirlo, Alonso, Carrick etc
Regista Hakabi na kufanya Tackling kama DM wa kawaida ila anakaa Deep kabisa
Hizi ni screenshot nimezitoa jukwaa la Man U reddit za Average position Ajax mechi zote mbili za Madrid na Juve
View attachment 2269091
View attachment 2269092View attachment 2269093View attachment 2269094
Screenshot zote zinaonesha FDJ anacheza deep kuliko schone Fdj ni namba 21 na schone 20. Juzi hapa baada ya mechi uholanzi alimcriticise xavi kwamba yeye anapenda kuwa wa kwanza kupokea Mpira kutoka kwa mabeki na akicheza juu quality zake hazionekani.
Pia Pirlo alikuwa hivi hivi Juve, anakaa deep kabisa japo yeye sio mkabaji na mbele yake kunakua na Pogba, Marchisio na Vidal.
Carrick alikuwa ni Regista so hii siyo idea mpya kwetu.De jong hachezi 10, sio kama Fernandez, Kipindi wanacheza ajax Van De Beek ndio alikuwa anacheza mbele kama kiungo mshabuliaji, na FDJ alikuwa nyuma.
Kwa sisi man U hatukuwa tukicheza na Regista ndio maana unaona kwetu idea ya regista si kubwa.
Ila angalia majirani zetu Chelsea Kante anacheza na Jorginho, huyu Jorginho si mkabaji ila anakaa Nyuma, Mount ama Havertz anakuwa mbele.
Sasa fikiria Mount kama Bruno na FDJ kama Jorginho.
Linabaki sasa swali la mwisho nani atakuwa kante wetu? patner wa FDJ ambaye atamkabia? Fred ama DM mpya?.
Kocha anaweza kuwa ana plan nzuri ila hii bodi ya United ikamletea watu asiowataka.Hili nalo neno mkuu, FDJ anacheza kushoto, McTominay uchezaji wake ni kama FDJ aliechoka, same type of players, maybe Tutacheza Diamond ili ku wa Accomodate wote FDJ na Fred. Ngumu sana kujua Huyu kocha anaplan nini. Ngoja tuone.
Kuna gepuu kubwa kwenye kikosi wameondoka wachezaji karibu wa 6Nachoona kwa upande wangu labda kocha hana mpango wa kuingia sokoni kwenye dirisha la msimu huu.
Labda kocha anataka kuingia na kikosi hiki hiki msimu mpya aanze nacho.
Maana Manchester sio kwamba tuna kikosi kabaya sana labda ni mbinu za makocha tu zilishindwa.
Mimi hata tusipo fanya usajili naona sawa tu maana wachezaji tunao kibao kwakuwa kocha ana jenga timu naona tu asitumie nguvu kubwa kwenye dirisha hili maana wachezaji wenye wapo haja fanya nao kazi hata kidogo.
Mimi naona msimu wa 2023/2024 ndo tunaweza kufanya cha maana kwenye usajili sio dirisha hili.
Mkuu labda nikuorozeshee baadhi ya registere midfielders huenda ukaelewaMpaka hapo umeona hana sifa za DM ila ni CM sema anacheza deep tu.
DM ni role siyo position pekee uwanjani. Ukimzungumzia Pirlo Machisio na Vidal walikuwa na sifa za kucheza DM na kumfree Pirlo kazi ya kukaba.
Similarly Carrick alikuwa akicheza na Fletcher ili kumpa wigo mpana wa kucheza bila kukaba.
Je hapo United atacheza na nani ???
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Nilielewa toka awali umewahi kuona hao regista wakicheza bila mkabaji ?Mkuu labda nikuorozeshee baadhi ya registere midfielders huenda ukaelewa
Regista midfielder
Verrati
Alcantara Tiago
Joghinyo
Pirlo
Carrick(deep lying playmaker)
Cesc Fabregas(deep lying playmaker)
Xaiv (deep lying playmaker)
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesema FDJ aliechoka.Huyu FDJ ni miongoni mwa viungo adimu sana kiasi kwamba hata Barca wakitaka 150 tuwapatie tu.
Mkuu Chief-Mkwawa kwanini unamfananisha FDJ na McTominay? Inawezekana vipi hii mkuu?
hapo kwenye Carrick na fletcher, siku zote fletcher alikuwa anacheza juu na Carrick yupo chini, hata kwa pirlo, Pogba alikuwa kushoto na marchisio kulia, vidal juu na pirlo chini.Mpaka hapo umeona hana sifa za DM ila ni CM sema anacheza deep tu.