Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,062
- 43,478
Huyu ana make sense sana kwetu, Tuna Maguire tu kama LCB na tuna Lundo la RCB. Pia anacheza beki ya Kushoto na Kiungo mkabaji.
Atakubali kuwa Sub?hatuwezi kupindua meza au hatufai
View attachment 2266263
Tungegusa Sisi tungeambiwa anauzwa Kwa £50+hatuwezi kupindua meza au hatufai
View attachment 2266263
badoooBado hatujasajili tu?
Nilishangaa bei ya halaard wkt walitutajia 150Tungegusa Sisi tungeambiwa anauzwa Kwa £50+
Yule mzee anachuki binafsi...yaan utazan yy ndie msemaji wa wachezaji wa kidachiVan Gaal tulimkosea nini?
Antony preferred foot ni left, akikaa RW ndiyo itafaa zaidi, kwa winger anayetokea kulia ukiacha kumwaga maji kama anaingia ndani ya box mguu wa kushoto ndiyo unahitajika kuwa na nguvu zaidi. Ila kocha ndiyo anajua zaidi atamtumia vipi cha muhimu wachezaji wapangwe kulingana na uwezo. Squad depth ni muhimu, Rashford na Elanga wabaki, Martial auzwe akikosa timu atolewe kwa mkopo + buy option. Amad atolewe kwa mkopo Championship + United walipe full salary, Pellistri abaki.Sky sport,sancho kulia,tony kushoto,vipi kuhusu elanga,martial,rashford???itajulikana tuView attachment 2267378
Kuna taarifa kuwa hataki kuj Man UBinafsi nasapoti hata ericksen aje tu,maake huyo bruno time huwa anaboa sana,tuwe na kikosi kipana..shida ipo katikati
Ukisikiliza Realiable source mkuu inapunguza sana stress. Hao Goal hawana issue kabisa.Kuna taarifa kuwa hataki kuj Man UView attachment 2267421
Eric na FDJ ni uhakika 100%Ukisikiliza Realiable source mkuu inapunguza sana stress. Hao Goal hawana issue kabisa.
Jana reporter mbalimbali wali report Spurs hawamo kwenye mbio za kumsajili Eriksen, hata inter Conte na Eriksen hazikuenda sana, sana sana Alichezeshwa tu Pembeni.
Leo Simon Stone amereport Man U wapo kwenye mbio, kuna Possibility kubwa Akaja kwetu.
Man Utd hope to sign free agent Eriksen
Manchester United hope to persuade Denmark midfielder Christian Eriksen to join them before the start of the new season.www.bbc.com
Van gaal akimwabia eth asikanyage united. Sio klabuVan Gaal tulimkosea nini?
Niwemkwel huyu dogo mm simkubaliSky sport,sancho kulia,tony kushoto,vipi kuhusu elanga,martial,rashford???itajulikana tuView attachment 2267378
Huyu akija Manchester anacheza wap? au ni kuongeza squad depthKuna taarifa kuwa hataki kuj Man UView attachment 2267421