Manchester United (Red Devils) | Special Thread

So far man u ni ile ile

Nadhani mnaelewa vilivyo Brighton alichowafanya juzi kati hapo

Tuweke akiba ya maneno
 
Hili li timu kama mambo ya football yamewashinda achana nayo ,fanyeni mambo mengine ,azinsheni hata timu ya kuogelea ,au mieleka ....uwanja inakuwa hapo hapo OT
 
Hapa sijaelewa kwahyo Pogba alitaka man u wamwongezee salary bila ongezeko ndio akagoma?

Wakati huko kaenda kushusha hata ile salary alikuwa anachukua man u kabla ya ongezeko.
Poga ni li jinga sana yani hafu linasema litaonesha ni jinsi gani tumefanya makosa kutolipa mkataba mpya liende tu miaka6 yote iyo tumeona nini cha ajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…