De jong hata akibaki sawa tu sisi tunaitaji DM aina ya kina casemiro, sio DM mwepesi mwepesi kama de jong nadhani ruben neves hanatufaa sana pale jamaa lipo vizuri kweli.De jong imeshndkana Mkuu kaangalie kwa Fabrizio jong mwenyewe amegoma mbwa yule...ndugu mashabiki tuendelee kusubiri sajili ya uhakika mpaka ssa ni moja tu yule dogo wa Ajax atasainiwa 90%
Bajeti ya usajili aliopewa ETH ni £120M.Ibadilike vp msimu uliopita tumesajili Sancho kwa pesa ndefu varane na Ronaldo....sasa ww unataka itoepesa kias gan au unataka tuwe kama PSG
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kwa Grealish au sio?Liverpool na ubahili wao wote wamemwaga £80million + £20 mill kalibia £100 million Kwa Darwin...!
Siku hizi hakuna mchezaji cheap ,labda ukanunue wachezaji wa mafungu kama wa arsenal,pepe,sijui ordegard ....
Grealish yule ni taletent hata kama hakudeliver last season ,next season you never know ...!Kama kwa Grealish au sio?
Pale kubali mlipigwa tu.Grealish yule ni taletent hata kama hakudeliver last season ,next season you never know ...!
Na huwezi kumpata mtu kama grealish kwa Bei za mboga za £20 million ..!
Hiyo ni probability sasa..Grealish yule ni taletent hata kama hakudeliver last season ,next season you never know ...!
Na huwezi kumpata mtu kama grealish kwa Bei za mboga za £20 million ..!
Usimhukumu mchezaji kwa msimu mmoja ....!Pale kubali mlipigwa tu.
Mbona wewe umemuhukumu NUNEZ kabla hajacheza?Usimhukumu mchezaji kwa msimu mmoja ....!
Keep watching next season ...!
Wala sio ugonjwa na ile hali imewahi kuwatokea wengi tu ata Rooney ashawai kuzimia uwanjani kama unahisi ni mgonjwa waulize CHELSICK...Ericksen ALIWAFANYAJE.....manyumbu mna taka adi wagonjwa wa moyo ndo mlipo fikiaeriksen
dogo ganiDe jong imeshndkana Mkuu kaangalie kwa Fabrizio jong mwenyewe amegoma mbwa yule...ndugu mashabiki tuendelee kusubiri sajili ya uhakika mpaka ssa ni moja tu yule dogo wa Ajax atasainiwa 90%
timber au antony ?dogo gani
Midfield ikikaa vizuri na team ikawa inapandisha vizuri mashambulizi, huyo jamaa anaweza kuwaacha.Naona watu wanawaza tu haaland na nunez tu hawajui kuna mashine ya kireno inaenda timiza miaka38 isije ikawashangaza msimu ujao ikaacha mbali hao watoto kwa magoli.View attachment 2261659
Huyo Ronaldo kashazeeka ,kwanza atachoka safari Za kwenda huko Scotland kucheza Europa na kina selitiki ,renjazi,sipatikomosiko huko urusi ....ikiwezekana wanaweza kulipukia huko maana urusi Kuna Putin mzee wa vita ...Naona watu wanawaza tu haaland na nunez tu hawajui kuna mashine ya kireno inaenda timiza miaka38 isije ikawashangaza msimu ujao ikaacha mbali hao watoto kwa magoli.View attachment 2261659
wewe tuliza kende izo ujionee unadhani mbali hapo.Huyo Ronaldo kashazeeka ,kwanza atachoka safari Za kwenda huko Scotland kucheza Europa na kina selitiki ,renjazi,sipatikomosiko huko urusi ....ikiwezekana wanaweza kulipukia huko maana urusi Kuna Putin mzee wa vita ...
Ratiba ilishatoka kitambo hivi wewe upo dunia gani mzeeratiba ya ligi kuu England inatoka leo
Ila hawa wajinga wasije fanya ujinga wakutupangia timu 5 mfululizo zote ngumu kama msimu uliopita sema advantage kubwa tuliyonayo msimu huu atutakuwa mashindano yenye presha sana ya Uefa.
Kwaiyo naona tukifanya sajili zetu vizuri tunaweza kufanya vizuri target yetu kubwa najua sio ubingwa labda litokee zari tu.