Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Man City wanataka wafanye swap deal ya BS na De jong. Yaani Man u kwenye usajili unasubiri tuu deadline uone wamefanya nn ukiwafuatilia utalia
Yani Barcelona ni lazima auze, hawezi kuswap na City unless kutokee maajabu na mtu Atoe mpunga awape Barca. Kifupi hawana hela ya kumleta Lewandoski, Kessie, Christensen, Azpilicueta etc. Na wama deni la kutosha, inabidi wauze.
 
Kongole mkuu ila jaribu kuimarisha mwandiko wako
 
Timu ya usajili ya Man United haiko makini tusidanganyane mkuu.
ukiondoa msimu wa 2007/08 ni dirisha lipi jengine la usajili tulilofanya vizuri, tulimsajili tevez, anderson, hargreavez, luis nani, rafael na fabio. Muda mwingi tulikuwa tunabebwa na nguvu ya sir alex. Wachezaji aliowasajili alitumia nguvu yake ya ushawishi kwa kufanya nao mazungumzo binafsi au wazazi wa wachezaji
 
Man City wanataka wafanye swap deal ya BS na De jong. Yaani Man u kwenye usajili unasubiri tuu deadline uone wamefanya nn ukiwafuatilia utalia
Ukisema hivyo matumbo yananiuma, naudhuka sana.

Nina hasira Sana na Liverpool sijui Kwa nini
 
De jong imeshndkana Mkuu kaangalie kwa Fabrizio jong mwenyewe amegoma mbwa yule...ndugu mashabiki tuendelee kusubiri sajili ya uhakika mpaka ssa ni moja tu yule dogo wa Ajax atasainiwa 90%
 
De jong imeshndkana Mkuu kaangalie kwa Fabrizio jong mwenyewe amegoma mbwa yule...ndugu mashabiki tuendelee kusubiri sajili ya uhakika mpaka ssa ni moja tu yule dogo wa Ajax atasainiwa 90%
De Jong hajagoma, yeye yupo huru kuondoka au kubaki, shida ni barca wanataka €85 sisi tulipeleka €60 + €10 kama adds on offer ambayo barca waligoma..
 
manyumbu mna taka adi wagonjwa wa moyo ndo mlipo fikia [emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]eriksen
 
N
manyumbu mna taka adi wagonjwa wa moyo ndo mlipo fikia [emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]eriksen
chukiaaga Sana MTU akiniiita nyumbu yaani naheshimu tu rules za JF otherwise ningesha kuto..kuto.....kutolea mapovu..

Kimsingi yule jamaa anakipiga, atatusaidia, ni carniba ya akina mata napenda uchezaji wake.
 
De jong imeshndkana Mkuu kaangalie kwa Fabrizio jong mwenyewe amegoma mbwa yule...ndugu mashabiki tuendelee kusubiri sajili ya uhakika mpaka ssa ni moja tu yule dogo wa Ajax atasainiwa 90%
De jong hata akibaki sawa tu sisi tunaitaji DM aina ya kina casemiro, sio DM mwepesi mwepesi kama de jong nadhani ruben neves hanatufaa sana pale jamaa lipo vizuri kweli.
 
Ibadilike vp msimu uliopita tumesajili Sancho kwa pesa ndefu varane na Ronaldo....sasa ww unataka itoepesa kias gan au unataka tuwe kama PSG

Sent using Jamii Forums mobile app
Bajeti ya usajili aliopewa ETH ni £120M.

Hiyo ni hela mbuzi na mbaya zaidi hatuuzi wachezaji kuongezea.

Ingekuwa amepewa £400M sahivi ungeshaona tumeshafanya mambo makubwa hasa kwenye key areas.

Bado tunapambana na Barca kumsajili De Jong.
 
Liverpool na ubahili wao wote wamemwaga £80million + £20 mill kalibia £100 million Kwa Darwin [emoji28][emoji28][emoji28]...!

Siku hizi hakuna mchezaji cheap ,labda ukanunue wachezaji wa mafungu kama wa arsenal,pepe,sijui ordegard ....
Kama kwa Grealish au sio?[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…