Manchester United (Red Devils) | Special Thread

taarifa za usiku huu: simon stone wa bbc anasema mazungumzo ya kumsajili frankie de jong yameanza ila hakuna ofa rasmi iliotumwa
 
fabrizio romano anasema man utd wametuma ofa ya euro million 60 + ongezeko la euro million 10. Barcelona wamekataa ofa hiyo
 
Angalieni game ya austria ya ralf inavyocheza ndo mtajua shida ya man sio kocha bali wachezaji
Ila Timu ya Taifa unaita wachezaji unaotaka, wakati club unakuta wachezaji unaopewa.

RR ni kama Pep ama Klop, ni system Coach, mpaka awe na specific players ku implement system yake, hivyo pae UTD si kwamba wachezaji ni wabovu its just Hawafit mfumo wake.

Then kuna makocha design ya Ancelloti ye mpe tu kundi la watu anapanga mnacheza Hataki makuu.
 
Mbona Carlo wachezaji wa Everton wamemshinda ,kaenda kutoboa na Madrid
,wechezaji wa united wanauwezo ila ni wavivu ,hawajitumi ,hawana morali ya kuipambania jezi ya united ....mbaya zaidi wao wanajiona ni wakubwa kuliko kocha yeyote ,hivyo kupuuza maelekezo ya mwalimu inakuwa simple na wanajua hakuna mtu wa kuwagusa ....over


Siku akija kocha ambaye atakuwa na sauti na kuweza kuamua kuwa mtu flani haendani na system yangu akae pembeni bila kujali sijui academy,au sukali ya uingereza,ndio timu itanyooka ...

Leo hii hata rashford afanye vibaya hawezi tolewa pale united ,ni sukari ya hapo OT ,ni Bora kocha aondoke kuliko rashford kuondoka ..
Sasa hii ni timu au utopolo ...
 
Huwezi kulinganisha wachezaji wa Everton na Real Madrid Mkuu.
 
One Season wonder Kwa pesa Ile.... N Kwa clip moja niliiyoiona control na first touch mbovu vile....overrated!
Siyo complete package ila bado ana muda mwingi wa ku-improve, chini ya Klopp anaweza kugeuka beast. Price yake na alichofanya haviendani lakini ndiyo soko limeshabadilika, naamini kama siyo Liverpool dogo angekuja United. Kama tutamsajili Antony sioni haja ya kusajili striker msimu huu kwasababu hatutapata top quality, wengi wanajua namba wanayokuja kupambania na Ronaldo hawatapata muda wa kutosha so ni heri tuanze msimu na Ronaldo / Rashford, Sancho na Antony kama wingers hiyo pesa ambayo tungetumia kwa Nunez iwekwe kwenye maeneo ya msingi hasa defense maana tayari midfield inazingatiwa.
 
Everton imemshinda? Angalia alivyoondoka Timu ilikuwa inashuka Daraja, msimu uliopita Everton walikuwa nafasi ya 10 wakiwa na 59 ambazo ni point 2 tu Nyuma ya Arsenal na Point 3 Nyuma ya spurs na Point 8 waingie Top 4. Ila msimu huu chupu chupu washuke Daraja, Unapata wapi Guts za kusema Alifanya Vibaya?.

Everton kwa misimu kama 5 wanasajili tu Attacking midfielder, wanaweza fika hata 8 wote wanacheza position moja, na jamaa kaimudu timu.

Na kocha yeyote wa system hawezi kufanya Vizuri na kundi la wachezaji tu, Nikukumbushe tu msimu wa kwanza Klop kamaliza nafasi ya 8,
 
Kwa Mourinho je? OGS je? Hapo hakuna wachezaji hasa Rashford ni wakutoa kabisa 🤣
 
One Season wonder Kwa pesa Ile.... N Kwa clip moja niliiyoiona control na first touch mbovu vile....overrated!
Wakati mnamsajili Lukaku alikuwa na first touch nzuri alikuwa na control
Mashabiki wa United bana,Mmebakia kuwa wapiga Ramli tu kama waganga wa kienyeji, Timu unayoshabikia imemaliza ligi na GD 0 huwazi msimu ujao mnarudi vipi unamuwaza NUNEZ itakusaidia nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…