D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,057
Kwani ni mchezaji gani mwingine amecheza vizuri hata mechi tano tu kwenye kikosi chetu ukiachana na babu Ronaldo na De Gea?Au mm naangaliaga mechi tafaut na mnazo angalia nyie nn...maana huyu Fred tunayemuongelea hapa msimu mzima game alizoperform vizur kwa kiwango hazifik game 10
Sent using Jamii Forums mobile app
Akija hata kwa 70 UTD naona ni sawa tu.Naona pia Barca hawana option kutokana na ukata wao
Kwa hii kauli ww unaona fred ni mchezaji mzuri wakupewa namba ya kudumu ndani ya kikosi cha Manchester kwnye kutafuta nafas za juuKwani ni mchezaji gani mwingine amecheza vizuri hata mechi tano tu kwenye kikosi chetu ukiachana na babu Ronaldo na De Gea?
Funny timu zote ulizotaja wana midfielder Mbrazili ambaye anakalishwa na Fred.Kwahy Fred ni mchezaj wa kucheza kikos cha kwanza...na unaona kabisa kwenye kutafuta makombe kama EPL tunaweza kufanikiwa tukiwa na Fred kama kiungo tegemezi?? Au naomba uniambie Fred anapata nafas Liverpool au mancity au Chelsea. Maana hawa ndio wapinzan wakubwa kweny kuchallenge EPL
Sent using Jamii Forums mobile app
DuhMzee mechi yake ya kwanza tu ana wakanyaga Croatia sisi man united lazima tuna shida sehemu.View attachment 2250935
Hii fact ya yy kupata namba timu ya taifa haina mashiko....maana tukienda namna hiyo vp maguaya na yy n beki mzuri sababu anapata namba England?Funny timu zote ulizotaja wana midfielder Mbrazili ambaye anakalishwa na Fred.
City pia walikuwa wanamtaka Fred, ni kwamba tu sisi tulitoa mpunga mrefu.
Maguire alikuwa hadi kwenye kikosi bora cha world cup iliyopita..Kwa England sijawahi kuona akicheza vibaya sana kama anapocheza akiwa na sisi United.Hii fact ya yy kupata namba timu ya taifa haina mashiko....maana tukienda namna hiyo vp maguaya na yy n beki mzuri sababu anapata namba England?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo uliyoitaja sio weakness kubwa ya Fred..atleast ungesema kupokonywa mipira kirahisi akicheza dimba la chini when he's on pressure.Kwa hii kauli ww unaona fred ni mchezaji mzuri wakupewa namba ya kudumu ndani ya kikosi cha Manchester kwnye kutafuta nafas za juu
Fred anamapungufu mengi kwa nafasi anayocheza...kiungo gan uliwahi kuona weakness yake n kupiga pass
Sent using Jamii Forums mobile app
ExtensionKusaini au kucheza?
Extension
aligomea sababu alitaka mshahara ambao anastahili sioni tatizo hapoExtension
Maguire ni Beki mzuri ndio, Kabla hatujaanza kucheza Highline kwa Misimu miwili si Maguire ndio alikua beki wetu? Wakati tunaweka Record ya Cleansheet beki si yeye? Ama sababu Msimu uliopita kacheza Vibaya basi tayari ni mchezaji mbaya?Hii fact ya yy kupata namba timu ya taifa haina mashiko....maana tukienda namna hiyo vp maguaya na yy n beki mzuri sababu anapata namba England?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye 4-3-3 ya EtH yenye 2 CDM Fred atacheza namba ngapi?Hiyo uliyoitaja sio weakness kubwa ya Fred..atleast ungesema kupokonywa mipira kirahisi akicheza dimba la chini when he's on pressure.
✓Kaangalie goli bora la Mwaka huu alilofunga Ronaldo
✓Kaangalie goli la tatu lililotupa ushindi vs Wolves.
Ukiyaangalia haya magoli ndo utajua ni kwa namna gani Fred ni master of quick transition pass kule mbele..na bado atakuoffer energy ya kutosha pale katikati ..one of the best.
ETH akijiloga akatengeneza kiungo legelege kwa kuwatumia watu aina ya VdB msimu wetu utamalizika mapema sana...Fred anastahili kucheza juu bigtime.
Mmh aisee ww ndio Manchester damu...hakuna mwenye shida ndan ya kikosi kizima kwa namna hii[emoji23][emoji23]Maguire ni Beki mzuri ndio, Kabla hatujaanza kucheza Highline kwa Misimu miwili si Maguire ndio alikua beki wetu? Wakati tunaweka Record ya Cleansheet beki si yeye? Ama sababu Msimu uliopita kacheza Vibaya basi tayari ni mchezaji mbaya?
Huyu Mkwawa kwake huwa hakuna mchezaji mbaya ndani ya kikosi cha Manchester united.Mmh aisee ww ndio Manchester damu...hakuna mwenye shida ndan ya kikosi kizima kwa namna hii[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ogopa mtu anaongelea mamb ya world cup leo na anakuprove wrong kabisa kwamba Maguaya ni bora sababu ya alikuwa bora kipind cha world cup...wakati ligi imeisha juzi katuchoma game nyingi tu [emoji23][emoji23][emoji23]Huyu Mkwawa kwake huwa hakuna mchezaji mbaya ndani ya kikosi cha Manchester united.
Kama mkuu Darmian alivyojibu juu mpira wa miguu ni mchezo wa wachezaji 11, unahitaji Balance.Mmh aisee ww ndio Manchester damu...hakuna mwenye shida ndan ya kikosi kizima kwa namna hii[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app