Say what you can say lakini Fred ni kiungo bora when it comes to quick transition passes..akisogea juu anakuwa mkali sana na hili tunalithibitisha kwa kuangalia mechi ambazo alisogezwa mbele.Hamna mtu hapo hana creativity kiungo gan weakness yake ni kupiga pass... Fred n wakutumika mechi zenye uhitaji wake tu lakn sio wa kuanza kila mechi...kwel tunaweka malengo ya kubeba epl na kiungo ni Fred izi n ndoto za abunuas...japo inategemea na kocha atakavyo mtumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Wtf!!!United wameanza kuwa na akili sasa naona wanamtaka Eriksen. Utakuwa usajili bora sana.
Hamna mtu hapo hana creativity kiungo gan weakness yake ni kupiga pass... Fred n wakutumika mechi zenye uhitaji wake tu lakn sio wa kuanza kila mechi...kwel tunaweka malengo ya kubeba epl na kiungo ni Fred izi n ndoto za abunuas...japo inategemea na kocha atakavyo mtumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahy Fred ni mchezaj wa kucheza kikos cha kwanza...na unaona kabisa kwenye kutafuta makombe kama EPL tunaweza kufanikiwa tukiwa na Fred kama kiungo tegemezi?? Au naomba uniambie Fred anapata nafas Liverpool au mancity au Chelsea. Maana hawa ndio wapinzan wakubwa kweny kuchallenge EPLSay what you can say lakini Fred ni kiungo bora when it comes to quick transition passes..akisogea juu anakuwa mkali sana na hili tunalithibitisha kwa kuangalia mechi ambazo alisogezwa mbele.
Brazil anapata namba kuendana na mahitaji yao na timu za taifa wanakuwa na wachezaji mbadala kwendana na mahitaji yao...kwahy ww unamuona Fred kwenye fainal ya champions League akiypiga mwingi kama modric au kroos...au kama fabinyo na tiago wa Liverpool....tuache mapenzi ya ajabu kwnye mpira tukubali madhaifu ya mchezaj hata kama n wa ManchesterBrazil na kujaliwa kwao vipaji vingi,Bado ina muamini Fred.
Na Brazil ana malengo ya kubeba WC kiungo mmoja wao akiwa ni FRED8
Fred huyo huyo ana mpiga benchi Fabinho Brazil.Brazil anapata namba kuendana na mahitaji yao na timu za taifa wanakuwa na wachezaji mbadala kwendana na mahitaji yao...kwahy ww unamuona Fred kwenye fainal ya champions League akiypiga mwingi kama modric au kroos...au kama fabinyo na tiago wa Liverpool....tuache mapenzi ya ajabu kwnye mpira tukubali madhaifu ya mchezaj hata kama n wa Manchester
Na kuna mtu atakuja kusema maguaya n bora kwa sababu anapata namba na ni captain wa England
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hii fact tumuongele maguaya kupata namba England kwamba yy n bora kuliko wengineFred huyo huyo ana mpiga benchi Fabinho Brazil.
Fred = Klaassen.
Kinachohitajika ni balance..hayo maswala ya kuuliza kama ataanza kwenye kikosi cha Liver au City ni utoto..Kwahy Fred ni mchezaj wa kucheza kikos cha kwanza...na unaona kabisa kwenye kutafuta makombe kama EPL tunaweza kufanikiwa tukiwa na Fred kama kiungo tegemezi?? Au naomba uniambie Fred anapata nafas Liverpool au mancity au Chelsea. Maana hawa ndio wapinzan wakubwa kweny kuchallenge EPL
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna wachezaji ukisema waondoke bila sababu unaeleweka ila kuna wengine unaosema waondoke bila kutoa sababu ya msingi huwezi kueleweka, mfano De Gea kwanini aondoke?Ofcourse watatu Tayari
Mata.
Matic
Pogba
Hapa niliona nafuu baada ya Pogba kuondoka, sikumpenda Sana. Behind the scenes hakuwa MTU mzuri. Mwingine ni goal keeper(DEA gea) napendelea Zaid hernderson anajibidissha, na martial sipendi waendelee kuwepo, na martial aishie hukohuko na wengine walio sikiliza mawazo ya kugomea timu, Nina wasiwasi na bissaka, Maguire ndio kabsaaa aende, Hawa watoto waliobaki mkwara wa kocha utatosha. Ronaldo abaki
Kuna mambo huyakumbuki. Unakumbuka de gea aligomaga?? TUANZIE hapokuna wachezaji ukisema waondoke bila sababu unaeleweka ila kuna wengine unaosema waondoke bila kutoa sababu ya msingi huwezi kueleweka, mfano De Gea kwanini aondoke?
Kusaini au kucheza?Kuna mambo huyakumbuki. Unakumbuka de gea aligomaga?? TUANZIE hapo
Kwamba hafai? Ni free transfer, ana kiwango cha kuwa regular starter au squad player kulingana na mahitaji ya kocha. He's class, kwa msimu huu hakuna kiungo wetu anafikia alichokifanya Eriksen.Wtf!!!
Anyway sawa..yetu macho.Kwamba hafai? Ni free transfer, ana kiwango cha kuwa regular starter au squad player kulingana na mahitaji ya kocha. He's class, kwa msimu huu hakuna kiungo wetu anafikia alichokifanya Eriksen.
Kwamba hafai? Ni free transfer, ana kiwango cha kuwa regular starter au squad player kulingana na mahitaji ya kocha. He's class, kwa msimu huu hakuna kiungo wetu anafikia alichokifanya Eriksen.
Au mm naangaliaga mechi tafaut na mnazo angalia nyie nn...maana huyu Fred tunayemuongelea hapa msimu mzima game alizoperform vizur kwa kiwango hazifik game 10Kinachohitajika ni balance..hayo maswala ya kuuliza kama ataanza kwenye kikosi cha Liver au City ni utoto..
Brazil yenye talent kibao Fred ni regular starter...maana anaifanya timu iwe na balance
Usikute na ushindi wake wa kwanza akaishia group stage.Mzee mechi yake ya kwanza tu ana wakanyaga Croatia sisi man united lazima tuna shida sehemu.View attachment 2250935