Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Fabrizio karipoti muda si mrefu Eric Bailly na Axel Tuanzabe ndio wanaofatia
 
Kuna wakati nikimuona solchiler kama ana Gundu akitarajiwa kuiinua united Ile ya sir Alex Kwa kuwa na presha, alianza vema kule PSG, Kwa Liverpool most of league Giant tuliwapiga, ana alikuwa na tabia kama za Mzee kuwaamini wachezaji,badala yake akaanza upuuzi. Akawaacha wadogo, akang'ang'ania wazee wakamuangusha.

Ile man UTD ilivyokuwa inashinda dkk moja mwisho ikapotea
 
Nimemtazama

De Jong
Ngoro. Na
Ndidi

Jamani de jong Hana kitu Kwa Hawa wawili. De jong hatufai united.

Nimeipenda style ya uchezaji ya Wilfred ndidi. Inatufaa. Na Ngoro nae Yuko poa tatizo Umri
 
Nimemtazama

De Jong
Ngoro. Na
Ndidi

Jamani de jong Hana kitu Kwa Hawa wawili. De jong hatufai united.

Nimeipenda style ya uchezaji ya Wilfred ndidi. Inatufaa. Na Ngoro nae Yuko poa tatizo Umri
Ngolo kante na Fred baba mmoja mama mmoja, na Ndidi anaweza tufaa ila yeye peke yake hawezi kusolve Tatizo letu la midfield hasa Mipira Kuchelewa kufikia Wachezaji wa mbele kama Bruno na kuwafanya warudi nyuma kukaba.

FDJ anasolve asilimia kubwa ya matatizo yetu, na Umemkosea sana Heshima kufikiri kwamba hana kitu kuliko hao wawili, FDJ ni World class.
 
Mkuu nimemuangalia Kwa WiGo Moana Sana
 
Mkuu nimemuangalia Kwa WiGo Moana Sana
Umeangalia kwa vigezo vyako na sio uwezo wake.

Muangalie hapa

Ukiona kitu kimefika 90 ujue ni top Quality ya Huyo mchezaji. De jong anakupa
-angalia kwenye carrying, jamaa anakokota sana mpira, ana uwezo wa kuukokota mpira mahala parefu Bila kupokonywa. Na anakokota kwenye Attacking 3rd kwa maana karibu na lango la wapinzani.
-ana uwezo mkubwa wa kupiga pasi hasa pasi ndefu, ambayo ni quality ya mchezaji anayekaa Deep, pia ni mzuri kutoa pass hata under pressure, hawa ni type ya wachezaji ambao mkikabwa mnampa yeye pass afanye mambo yake.
-pia kwenye upigaji mashuti, utengenezaji nafasi na ufungaji yupo vizuri.

Vitu ambazo hajui
-si mkabaji mzuri
-hawin mipira ya Vichwa

Hivyo huyu jamaa ana slot vizuri kama replacement ya Pogba, ambae atacheza deep akiwa na Mkabaji pembeni yake. Fikiria kama Gundogan pale Man City.
 
FDJ akija middle yetu itakuwaje?..Tutaingia tena sokoni kutafuta DM si ndio?
 
FDJ akija middle yetu itakuwaje?..Tutaingia tena sokoni kutafuta DM si ndio?
Hapo kati wanakuja wachezaji kuanzia wawili msimu huu.

Priority za Man Utd ni hapo kati kwanza, inafuata beki wa kati na striker.

Usishangae wakaja wachezaju wawili au watatu wa hapo kati.
 
Yani nafsi yangu ina mkataa kabisa de jong naona ni mwepesi mno kwa soka la England mimi naona tunaitaji DM mmoja wa nguvu kama ruben neves wa Wolverhampton

Siku zote timu yenye kiungo katili ndio upata matokeo mazuri uwezi kuwa na kiungo chepesi chepesi utegemee matokeo.

Kiufupi tunaitaji DM mfano wa roy keane,makelele,Patrick viera,yaya toure,casemiro, yani tunaitaji DM yetu ashike mtu katili kweli kweli.

hafu tuache wakina fred, Fernandez,wajiachie kwa juu. Matic alikuwa anaiweza hii kazi ya kiungo katili sasa nae umri ushaenda kiwango kimeisha saizi.
 
Kaka nakuelewa vzr
 
Nukuu kutoka kwa Erik ten Hag.

Can you play Frenkie de Jong as a lone #6?

Erik Ten Hag in 2019[emoji860]: "No! He leaves the middle of the pitch too often for that. And if you don’t give him the freedom to go forward, you won’t get the best out of his game. Playing Frenkie as a lone ‘6’ (DM) would be a waste.”

United lazima watasijili DM wa kufanya kazi chafu, waliopo hawatoshi kufanya hiyo kazi. de Jong ni mchezaji muhimu sana kuja kuboresha midfield yetu kuliko mnavyofikiria. EtH ni muumini wa 4-3-3 anajua anachokifanya vizuri sana.
 
Kwangu naona fred akicheza juu ni mzuri kuliko de jong maana nimeliona ilo mara nyingi fred hakipanda juu.
 
hapo naweza kubaliana na kocha yani timu yoyote inaitaji kiungo wa kazi chafu tuna mactoo ndo kiungo wa hizi kazi pale ila ni mwepesi sana yani naona ruben neves hii kazi anaiweza sana toka kastafu carick kiungo chetu kimepwaya sana.
 
EPL is supposing to regelate this team to championship.... From being giant team to worse team who sucking best football Managers always... Talented players became flop always.

Manchester United is new Sunderland.

PSG always.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…