Google Diggers
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 944
- 1,142
Wiki iliopita wawakilishi wa jurrien timber wameonekana jijini london zinapopatikana ofisi za manchester united.
Dogo wa bench keeper no2. mbona naona kama anafundishikaDe gea kwa Ten Hag habaki, De gea ni GK siku hizi makipa wa kisasa ni sweeper hivyo ata struggle.
Ila ukiangalia kikosi chetu tuna maeneo muhimu ya kusajili kwanza, hivyo anaweza kucover hio nafasi kwanza halafu kwa baadae itafutwe replacement.
Unapocheza na mabeki Highline, aka kukabia juu kunakuwa na gape kubwa baina ya Beki wa mwisho na kipa, hivyo kama kipa Hatoki unakuta kunakuwa na 1vs1 nyingi sana.De gea kosa lake nn? Au ndiyo zile propaganda za kusema hapigi pasi? Hayo mambo ya kupiga pasi waachie midfielders kipa kazi yake kudaka na de gea hana shaka kwenye hilo.
Msitake tuondoe watu kwa vigezo visivyo na macho wala miguu alafu baadae tusumbuke miaka 10 kutafuta replacement.
Henderson sio? Huyu ni sweeper na anafaa huu mfumo, ila ana quality ya kutufikisha tunapotaka? Hili sijui.Dogo wa bench mbona naona kama anafundishika
Hernderson MkuuHenderson sio? Huyu ni sweeper na anafaa huu mfumo, ila ana quality ya kutufikisha tunapotaka? Hili sijui.
Mimi kwangu mkuu Fred ni 1st eleven Material, na sifa ya Midfield ni combination ya kukaba watu na kukaba nafasi, moja ya kitu kinacho tugharimu sasa hivi midfield wetu wote wanakaba watu (Fred na Mctominay) na unakuta Nafasi Kibao zipo wazi.Natamani iwe hivi, itakuwa mwanzo mzuri wa rebuild ya United.View attachment 2247899
Fred bado ana potential kubwa kwenye hiki kikosi chetu..that's for sure.Mimi kwangu mkuu Fred ni 1st eleven Material, na sifa ya Midfield ni combination ya kukaba watu na kukaba nafasi, moja ya kitu kinacho tugharimu sasa hivi midfield wetu wote wanakaba watu (Fred na Mctominay) na unakuta Nafasi Kibao zipo wazi.
VDB tumemuona, sifa yake ni positioning, FDJ na Ruben wote wapo Ovyo kwenye Kukaba watu, hivyo kwangu hio Midfield haiwezi ku function. Na tunarudia kosa lile lile
Fred panga pangua Timu ya Taifa Brazil alongside Casemiro tunaona shughuli yake, Hata msimu huu umeona akipewa Ruhusa na RR ya kukabia Juu anavyowin mipira na immediate kutoa pasi za magoli.
Pia Timber sio RB, Pau Toress kama anakuja ni Alternative wa Maguire maana specific nimeona ETH anataka Beki wa Kati kushoto.
Nakubariki kwa hiliNatamani iwe hivi, itakuwa mwanzo mzuri wa rebuild ya United.View attachment 2247899
Ofcourse watatu TayariWachezaji 15 wanaweza kuondoka Man Utd msimu huu.
Wengine wameshaanza safari.
Mambo yote ya Pogba ila jamaa ni Strong presence kwenye dressing room. Alikuwa na mahusiano mazuri na Ole na RR, Yeye ndio alikuwa anawaambie Madogo wamsikilize Ronaldo, Bruno mara kwa mara akihojiwa Pogba ndie aliemfanya Asettle mapema etc.Makocha waiowahi ku manage man UTD nawashangaa Sana. Kwa nini walimuuza Di maria, Ander Herrera?
Mbona Hawa wachezaji wanafanya ya maana huko.
Ni Imani Yang kuwa Hawa watu wasingewauza kijinga wangejua Msaada Sana Kwa Timu cetirus perubis Kwa wale walatin watanielewa. Kwamba pogba wasingeharibu dressing room. Lkn hata kama Pogba wamejaribu dressing room, bado kocha ana makosa MTU kama huyo unampanga wanini. Nikigundua unahalibu dressing room sikupangi kwenye mechi.
Utasubiri kuuzwa tu. Au uhame eand of contract. Kosa walilofanya coaches kama solsisher ni kuwapa nafasi wanaoshawishi ngono.. Kuna wakati niliamini wazungu ninwajinga Sana IQ zero. Ferg alipomuoondoa pogba anaakili. Kwa umumchukue mchezaji aliyeuzwa na mwenzio.. ni sawa na kusaliti klabu.
Ninaamini UTD tutapata kocha mwenye akili sawa sawa. ETH sipendi Sana kumsema coz labda ni welewale nitajua baadae ikiwa management itamwambia mjinga kama martial ni muhimu Kwa mweny timu. Maana nakumbuka Chelsea iliharibika wkt abromovich alipomganda tshevencko Chelsea ikapata tabu sana
Maguire ni muhimu sana Ktk timu tena aendelee kubakiOfcourse watatu Tayari
Mata.
Matic
Pogba
Hapa niliona nafuu baada ya Pogba kuondoka, sikumpenda Sana. Behind the scenes hakuwa MTU mzuri. Mwingine ni goal keeper(DEA gea) napendelea Zaid hernderson anajibidissha, na martial sipendi waendelee kuwepo, na martial aishie hukohuko na wengine walio sikiliza mawazo ya kugomea timu, Nina wasiwasi na bissaka, Maguire ndio kabsaaa aende, Hawa watoto waliobaki mkwara wa kocha utatosha. Ronaldo abaki
Leteni Tu ujuaji wenu , muuzeni de geaUnapocheza na mabeki Highline, aka kukabia juu kunakuwa na gape kubwa baina ya Beki wa mwisho na kipa, hivyo kama kipa Hatoki unakuta kunakuwa na 1vs1 nyingi sana.
Kwa macho ya kawaida huwezi ona tofauti ila ndio mfumo ulivyo, unahitaji sweeper.
Kipa kama de gea anacheza vizuri mifumo ya kina Mou, Cholo etc ambao wanacheza low block.