Hii ni EPL sio Dutch Eredivisie..Fred kwenye kikosi cha kwanza cha EtH hata namba anaweza asipate, mchezo wa possession hauhitaji mapepe miguuni. de Jong siyo mchezaji wa kumfananisha na Fred. EtH hachezi na lone CDM so obviously kutakuwa na ujio wa DM pia. Yani kiuhalisia hata Bruno asipoangalia namba 10 anaweza kucheza VdB.
Kwa mfano akija de Jong unadhani kwenye CDM atafaa nani mwingine pamoja na namba 10?Hii ni EPL sio Dutch Eredivisie..
Pale katikati tunahitaji compusure na ufundi lakini pia na fujo nyingi..kucheza na VdB na De jong ni kujitakia maumivu mapema tu..
Sioni nafasi ya VdB kushine kwenye hii EPL..kaenda Everton tu hata namba alikuwa akipata kwa mbinde.
Maguire ndio hatumpendi..lakini kuondoka this summer ni ngumu kama ngamia kupita kwenye tundu la sindano..very impossible.Hii safisha ikifika kwa Jones nitafurahi nasubiri tu hapa hata Maguire pia fresh tu.
Ingawa sipendi tunachelewa kusajiri sana tunaanza mambo yale yale msimu unaanza tumesajiri mtu mmoja tu.
Mimi sijaona haja ya kutaka kumsajili De Jong..Kwa mfano akija de Jong unadhani kwenye CDM atafaa nani mwingine pamoja na namba 10?
Hili swala sionag uhalisia kbsaa angalia Timu ka City viuongo wake wengi soft tu Rodri ka bernado, odegard wanacheza kivp de Jong ashindweHii ni EPL sio Dutch Eredivisie..
Pale katikati tunahitaji composure na ufundi lakini pia na fujo nyingi..kucheza na VdB na De jong ni kujitakia maumivu mapema tu..
Sioni nafasi ya VdB kushine kwenye hii EPL..kaenda Everton tu hata namba alikuwa akipata kwa mbinde.
Ukisema tu viungo wa City ni soft pekee utakuwa unakosea..Nyuma yao yupo Rodri na hao kina Bernado wanaficha mali(mpira) kuliko kawaida..huwezi kumlinganisha Bernado na VdB au De Jong linapokuja swala la kuficha mpira na kutunza possession,plus kukokota.Hili swala sionag uhalisia kbsaa anhalia Tim ka City viuongo wake wengi soft aro Rodriguez a aye cheza apo n simple tu ka bernado, odegard wanacheza kivp de Jong ashindwe
De jong pia mzur kuficha mali kwa mech chache nilizo muonaUkisema tu viungo wa City ni soft pekee utakuwa unakosea..Nyuma yao yupo Rodri na hao kina Bernado wanaficha mali(mpira) kuliko kawaida..huwezi kumlinganusha Bernado na VdB au De Jong linapokuja swala la kuficha mpira na kutunza possession,plus kukokota.
Atleast kidogo De Jong..ila sio VdB.De jong pia mzur kuficha mali kwa mech chache nilizo muona
Sawa mkuuMkuu kama unapenda tetesi upitage kwenye page za fabrizo romano yupo mitandao yote ya jamii tetesi zake asilimia 85 uwa kweli.
Mctominay atapata au kwa sababu ama uwezo kuzidi fred ?Fred kwenye kikosi cha kwanza cha EtH hata namba anaweza asipate, mchezo wa possession hauhitaji mapepe miguuni. de Jong siyo mchezaji wa kumfananisha na Fred. EtH hachezi na lone CDM so obviously kutakuwa na ujio wa DM pia. Yani kiuhalisia hata Bruno asipoangalia namba 10 anaweza kucheza VdB.
Hiki kizazi cha kina pogba na wenzie kiondolewe ni project iliyo feli sehem kubwa de gea wakumuondoa pia pamoja na martial mishahara mikubwa kiwango kidogo...najua watu watapinga kuhusu degea lakn ukwel n wa kumuondoadavid de gea anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka 5 wenye punguzo la mshahara, kwa sasa analipwa paundi 375000, mkataba mpya utamfanya alipwe paundi 250000. vipi tuanze kumsifu john murtough au muda wake bado?... CHIEF MKWAWA
Yani kimsingi Fred na McTominay siyo wachezaji wa hadhi ya Manchester United. Kupata kwao namba itategemea, kama timu itamsajili de Jong na DM wasahau suala la kucheza mechi za Premier League kabisa.Mctominay atapata au kwa sababu ama uwezo kuzidi fred ?
Yani kimsingi Fred na McTominay siyo wachezaji wa hadhi ya Manchester United. Kupata kwao namba itategemea, kama timu itamsajili de Jong na DM wasahau suala la kucheza mechi za Premier League kabisa.Mctominay atapata au kwa sababu ama uwezo kuzidi fred ?