Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mmeanza Sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siku zote mdomo wenu unawaponza ...cheki kama huyu kigagura[emoji23][emoji23]

Muda wao wa kujidai sasa. Waache waongee na kupanga kikosi chao na kumpangia kocha anachotakiwa kufanya.
 
Mhuu Anderson hajawahi kuwa na calibre hiyo. Ukiondoa Ole na Javier labda kidogooo huyo Marcus
 
Siku Rangnickeledeon anakubali kwenda Austria nikasema timu inaenda shimoni zaidi kwakua hata anayetakiwa kua mshauri hana imani na project nikaambiwa mshauri anaweza akawa kocha huku anashauri.

Leo yametimia. Kwanza nilikua sahihi siku zote nilivyosema united shida ni makocha na siyo wachezaji, timu ikiwa na world class players watano tu hiyo timu itasumbua nje ndani sasa united inao 7 au zaidi lakini performance ni comedy.

Nyinyi kocha wa kuja hapo alitakiwa awe Gasperini anakupa assignment unamletea drama anakubonda. Muulizeni Papu Gomez anamjua huyo mtu
 
Trust the process
 
Andy O'boyle ndiye deputy football director wa manchester united, kabla ya uteuzi huo alikuwa anafanya kazi ya head of elite performance wa premier league. Kazi yake ilihusu zaidi utoaji wa ushauri kwa vilabu juu ya swala zima la recruitment ya wachezaji, analysis n.k. Karibu manchester united Andy
 
Ligi sasa zimeisha, msimu ujao ETH atawanyoodha sana wapinzani. Rashford na Sancho watakuwa on form, CR7 atapokea pass nyingi sana nzuri. Yani msimu ujao kama hatujabeba treble sijui.

Tukutane msimu ujao.

GGMU
Msimu ujao hata europa conference cup hamuendi 😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…