Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ukibeba ubingwa ndio at least tunaweza kuongea,remember you have won nothing in 8 years
 
Reactions: Nzi
Kheeeee kheeeeeee kheeeeee MANU hatushikiki!!!! Hamjambojambo mtaa huu? Madudu ya Mo No yanazidi kushamiri dah!!! Poleni kwa kuuanza mwaka vibaya ndio ukubwa huo 🙂🙂

Kama madudu ya Arsene Chenga yalivyoshamiri kwenu goons kwa miaka 8 bila kikombe hata cha mbuzi.......
 
Kwi kwi kwi kwi scared for what!? Always remember that duration of any football match is 90 minutes and not 85 minutes.....

I can see so many haters over here

You guys where were you before that useless guy scored fluke goal? {bendtner}

Were you scared?
 
Hahahahahaha lol!!!!! #Mamburukenge kwa kununa banaaaa dah!!!! Ngoja nisepe zangu msije kunirushia tindikali usoni bureeee 🙂🙂 kama vile miye ndiye nilimuajiri Mo No na kusajili team midebwedo 🙂🙂

Kama madudu ya Arsene Chenga yalivyoshamiri kwenu goons kwa miaka 8 bila kikombe hata cha mbuzi.......
 
Hahahahahaha lol!!!!! #Mamburukenge kwa kununa banaaaa dah!!!! Ngoja nisepe zangu msije kunirushia tindikali usoni bureeee 🙂🙂 kama vile miye ndiye nilimuajiri Mo No na kusajili team midebwedo 🙂🙂

Timu mdebwedo lakini imekufunga wewe bingwa
 
Reactions: BAK
Hahahahahaha lol!!!!! #Mamburukenge kwa kununa banaaaa dah!!!! Ngoja nisepe zangu msije kunirushia tindikali usoni bureeee 🙂🙂 kama vile miye ndiye nilimuajiri Mo No na kusajili team midebwedo 🙂🙂

Sishangai kwani najua kwamba uwa unafurahi zaidi pale #ManUnited inapofungwa kuliko hata Arsenal inaposhinda......

#AmazingClub
 
ya AW yamefikaje tena?au ndio hasira!maneno yasadifu matendo yako mkuu,huo ndio ushabiki wa kweli,sasa Moyes ni bora kuliko AW kwa lipi?ah!pole ndugu ndo kawaida ya mpira
 
Hapana mkuu Lloris aliokolea ndani ya box na ilikuwa clear sema after saving aliruka nje ya box.
Kuhusu Young na yenyewe ilikuwa busness as usual kama kawaida ya Young ku-dive so ni ukweli kuwa young alidive na ulikuwa mwendelezo wa Wachezaji wa Man U kwa siku ya jana maana alianza Welbeck, akafuata mwanafunz wa wa Young kwa kudive [Januzaj] mpaka akapewa na kadi kisha akamalizia mwalim wao Young Diver. So msitafute sababu Tafadhari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…