Mbona Pep kaigeuza shamba la bibi, nataka ujue kuwa ligi yoyote inaweza kugeuzwa shamba la bibi ila issue ni stratagies za kocha na mpunga unaomwagwa vizuri kuliko vilabu vingine vya ligi husika.
Ndomaana ukiangalia team zote zilizogeuza ligi fulani mashamba ya bibi zina vitu viwili kwa pamoja (mpunga wa maana + kocha wa maana).
If Jose Mourinho could have been a manager of Manchester united until today Nadhani mngekuwa na EPL teyari au kombe lolote lile the same to Spurs who sucked him before final ya carabao against Man City and they lost it.
Lee Grant is set to join Ipswich Town as first-team coach after announcing his retirement.
He will link back up with Kieran McKenna and Martyn Pert.
“I know Kieran and Martyn having worked with them at #mufc and I loved the work we were being given from a playing perspective. Now I am excited about working with them again, albeit in a different role.”
matumizi ya mshahara yameongeza lakini performance imesambaratika.
huyu ndiye muandishi anayechukiwa subreddit ya reddevils akifuatiwa na fabrizio romano (mzee wa kurejea habari kwa kubadilisha maneno machache)