La liga imejifia as we speak..Rais wa la liga bado anaendelea kuweweseka mpaka dakika hii, bado haamini kama mbappe kylian amekataa kwenda real madrid. Wamewakosa haaland erling na mbappe kylian.
Ivi wewe takataka upogi timu gani wewe mbuzi😂😂😂 maana ata ueleweki Yani una kichwa ngumu Kama kesi yaa shamba..😂😂😂Nyumbu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tulia ww cheltako chelyatima mm Brentford damu siunajua nilichokufanyaIvi wewe takataka upogi timu gani wewe mbuzi[emoji23][emoji23][emoji23] maana ata ueleweki Yani una kichwa ngumu Kama kesi yaa shamba..[emoji23][emoji23][emoji23]
Wale wanajeshi 2500 wa Ukraine waliojisalimisha juzi kwa jeshi la Urusi moja ya sharti lao kabla ya kujisalimisha ilikua ni kuruhusiwa waone mechi ya mwisho ya manchester united vs Crystal Palace.Dah hii timu itakuja huwa watu hii yani watu walikuwa wana hali mbaya kweli kweli watu walikosa amani kabisa[emoji22][emoji22]
Leo watu hawa amini kama inacheza anyway
Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha.[emoji16][emoji16]
Ameshaongoza!?Safi sana westham
Ndio man u conference inamuitaAmeshaongoza!?