Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yaani sisi kutetesi tu hajunA signing why
Bora ku-block source zote za habari za United. Inakera halafu utashangaa wachezaji wanaokuja ni tofauti na tunaowaona kwenye tetesi.

Yani so far there's nothing good being a United fan, timu haichezi vizuri, hatusajili wachezaji wazuri, wachezaji waliopita wanakatisha tamaa yani hata akija mchezaji mpya tayari unakuwa na doubt huenda naye atafeli.

Yani kwa kifupi Manchester United gives negative vibes.
 
Hivi ni kweli tulikuwa tunajuhudi binafsi au tuliachiwa kushinda even extra minutes??Ilikuwa mbinu ya kocha au nani anaweza rejesha hii vibe!???
 
Daemushin: anyupdate kuhusu Timber and analysis?
mpaka muda huu hakuna taarifa yoyote kubwa. Timber atakupa option ya kucheza nafasi mbili hadi tatu kwa kiwango cha juu nazo ni RB, CB na DM. Endapo eric bailly na wan bissaka watapata timu na kuondoka basi jurrien timber atatosha kuziba nafasi za hao wawili.
 
Juan Mata
Phil Jones
Aron Bissaka
Jesse Lingard
Edson Cavani
Nemanja Matic
Paul Pogba

Confirmed wanaondoka United.
juan mata anaweza kupewa mkataba mpya, nimevutiwa na mahojiano yake aliyoyafanya ndani yake amezungumza mambo mazito sana kwa lugha ya kiutu uzima. Structure ya manchester united ipo mahututi.
 
Nitajieni mechi 3 tulizoshinda bila ya ronaldo baada ya kusajiliwa kwake. Cristiano Ronaldo huenda akakosekana kwenye mchezo wa leo kutokana na majeruhi aliyoyapata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…