Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Usijali sana mwaka huu hatuishi kiunyonge, muda mfupi tu baada EPL kuisha unaanza mchaka mchaka wa World Cup, kama kawaida tunaendelea kuwaona kina Maguire.
Mpaka kombe la dunia linaisha ligi kuu nayo inakua imekaribia kuanza.
Jombaa WC mwaka huu ipo mwezi wa 12.
 
Aje haraka sana. Tuanze mipango.
Mbona ameshaanza mipango?

Cha kwanza ni kuandaa staff atakaofanya nao kazi. Na tayari wameshapatikana.

Cha pili ni kufanya analysis ya current squad na hao new staffs na kutambua nani aondoke na nani abaki.

Cha tatu ni kuangalia nani asajiliwe.

Cha nne ni kwenda likizo, then by june 20 pre season inaanza.
 
Dah we ni shit
 
Shida ya nyumbu mnahitaji mabadiliko ya haraka, haya mambo kwa uingereza wanayaweza Chelsea tu, wanaondoa kocha anaekuja anafanya vizuri.

Mngemuacha Morinho leo mgekuwa mmeokota hata kombe jingine, hata SOSHA angebaki pengine hata hiyo europa mngekuwa mnashiriki bila kusubiri crystal waje uwanjani wamelewa.

Haya mnaleta mwingine ataleta wachezaji wa Ajax ambao ni watoto wote wanahitaji muda wa kuleta mafanikio kwenye timu itafika January mpo wa 5 kwenye msimamo mtamfukuza mtamleta Rooney atawaonesha ni kocha mtampa muda na timu itaishia nafasi ya saba.
Msijaribu mbinu za timu kama Chelsea, mbona wasichukue mpango wa Liverpool hadi kurudi kwenye njia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…