Mkuu, mbona unaongea kwa lugha ya masikitiko kiasi hiki!
Chifu, siwezi kusikitika wakati naelewa matokeo yanayoweza kutokea katika soka, kushinda, kufungwa ama droo.
Samahani kwa kukukwaza lakini lawama zimfikie David Moyes na wale wote waliodhani kuwa manager mzuri pia unakuwa na uwezo wa kumpata manager mwingine mzuri.
Hapa ndipo uwa mnanifurahisha nyie goons. Hivi Arsene Wenger alivyotokea kwenye nchi iliyokuwa haipo katika ramani za soka, alikuja pale Arsenal kwa sababu gani? Rekodi zipi ndizo zilizomleta Arsenal? Uzuri gani ndiyo ulimfanya apewe mkataba wa kufundisha goons?!?
Katika hili la coaching, ukiliongelea kinazi, siwezi kujadiliana nawe, lakini ukiliongelea kiupenzi wa soka, utaelewa, siyo kazi rahisi kwa timu iliyokuwa na kocha mmoja kwa miaka 27, kupata kocha mpya na kufanya vizuri instantly.......transition period lazima iwepo.....na uzuri, hapa OT, bodi inaelewa, na siyo utamaduni wa
#ManUnited kufukuza makocha.......
Juzi niliweka article moja inayomuongelea David Moyes, kajaribu kuisoma kidogo......
Tukijadili kwa records, David Moyes is better off than Arsene Wenger if the two are compared in the context of what they were doing before coming to
#ManUnited and Arsenal respectively......
BTW, I am also amazed by how Arsenal fans troll on Moyes' performance at #ManUnited
I think you are forgetting that Wenger and Arsenal has gone through 8 years of title drought at Arsenal......I wonder how you are now calling the man 'professor'......and then trolling on Moyes who has just been there 6 months!!!
Come on, get real!!
Ninapita tu na kuwapa pole kwa msiba uliowafika leo ndani ya 'Theatre of daydreamer'.
Naamini hayo maneno juu yanafurahisha jukwaa....otherwise don't try to make a chump out of yourself.....
Just to sum up.....I know how
#haters celebrate more when #ManUnited lose than when their teams win!!!
#AmazingClub