Achana na source za kipuuuzi.Sportblind,Kuhusu Laimer
Na Santi aouna, RR anamtaka Mukiele Ingali ETH hajaonesha uhitaji wa huyo mtu.
Wikipedia bhn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
issue Sio united kucheza Europa kwani ishacheza Sana , issue ni Ronaldo kucheza Europa [emoji28][emoji28]Natamani Man U ingekosa nafasi ya ushiriki Europa ili ijikite na mapambano ya EPL na mashindano mengine ya ndani. Japo ni biashara hayo mashindano ya Europa league yana ufedheha Fulani kwa timu kama Man U. Tena hasa tukienda straight
Kushiriki Europa ni muhimu sana haijalishi udogo wa mashindano. Kwa rebuild itakayofanyika timu itahitaji mechi nyingi zaidi. Hata kama ukiwa shabiki inabidi ukubaliane tu na ukweli kwamba United ipo levels za Europa League usiangalie jina la Manchester United limebeba historia kubwa kiasi gani angalia tu hali iliyopo sasa, tunastahili kucheza Europa.Natamani Man U ingekosa nafasi ya ushiriki Europa ili ijikite na mapambano ya EPL na mashindano mengine ya ndani. Japo ni biashara hayo mashindano ya Europa league yana ufedheha Fulani kwa timu kama Man U. Tena hasa tukienda straight
So what? That does not justify that you are losing the league, this year.
hayo maeneo mengineyo nadhani itategemea zaidi na wachezaji watakao uzwa na si vyenginevyo. Mpaka sasa hakuna dalili za kuondoka kwa luke shaw, telles, dalot na wan bissaka.Ten Haag ameridhika na full backs wetu??
wanaweza kutokumjumuisha kwenye kikosi cha europa kama walivyofanya barcelona kwa dani alves. Je ronaldo mwenyewe atataka iwe hivyo?issue Sio united kucheza Europa kwani ishacheza Sana , issue ni Ronaldo kucheza Europa [emoji28][emoji28]
Mmmh hizi jersey kama sale za kwayaVitenge vya madiwani.View attachment 2224146
Hivi mechi yetu saa ngapi mkuu!?Kosi la dunia limekuja kuwa Kosi la mtaa