Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nahisi huyu lazima atatofautina tu na RR maana RR atataka mchezaji flani asajiriwe na ETH anataka mwingine[emoji1787].Mvurugano tayari hapo.

Mmoja anamtaka De jong mwingine anamtaka Laimer
Wapi Rangnick amesema anamtaka Laimer?
 
Ten Haag ameridhika na full backs wetu??
 
Sijajua kwanini United inapoteza pesa kumsajili De Jong
Tunaenda kufanya makosa kwa kweli..

Tunahitaji kiungo anayeweza kucheza kwa nguvu pale katikati..huyu de jong pasi zake za rula hazitatusaidia kwenye hii ligi ya Uingereza when DM position is concerned.
 
Yupo Scott msijari. De jong anaingia badala ya Pogba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…