Huu usajili Pep Guardiola hakuhusishwa moja kwa moja alikuwa mshauri zaidi nafikiri umelenga mkakati wa muda mrefu wa City.ile taarifa nilifanikiwa kuisoma asubuhi kutoka kwa mtaalamu david ornstein, nafikiri yeye ndiye muandishi wa mwanzoni kuripoti taarifa hiyo. Kwa nini awe erling haaland na si harry kane?. Any tips.
ninachokiona usajili wa erling haaland kuelekea manchester city utawarudisha manchester united kwenye mbio za kumuwania harry kane. Mwezi mmoja uliopita muandishi laurie whittwell (tier 1) aliripoti taarifa inayowahusu viongozi wa manchester united kuwalenga wachezaji wawili au watatu wanaotarajia kuwasajili msimu huu na kati yao ni declan rice au kelvin phillips, harry kane au darwin nunez. Laurie anasema licha ugumu wa dili hizo lakini tayari viongozi wa manchester united wakiongozwa na ed woodward walishafanya mazungumzo na daniel levy juu ya usajili wa harry kane tokea msimu uliopita lakini kikwazo ilikuwa ni dili la sancho. Kama city watakwenda kwa haaland basi united watajaribu bahati yao kwanza kwa kane na wakati huo jorge mendez alishachukua tenda ya kufanya dili la darwin nunez kuelekea tottenham hotspurs au manchester united na hapo itategemea na dili la kane.Huu usajili Pep Guardiola hakuhusishwa moja kwa moja alikuwa mshauri zaidi nafikiri umelenga mkakati wa muda mrefu wa City.
Pep mkataba wake unaisha mwakani. Habari za chini chini zinasema Ferran Sorriano na Txiki wameanza mazungumzo ya awali na Luis Enrique.
Japo siwakubali waingereza ila Harry Kane ni proven player wa EPL.ninachokiona usajili wa erling haaland kuelekea manchester city utawarudisha manchester united kwenye mbio za kumuwania harry kane. Mwezi mmoja uliopita muandishi laurie whittwell (tier 1) aliripoti taarifa inayowahusu viongozi wa manchester united kuwalenga wachezaji wawili au watatu wanaotarajia kuwasajili msimu huu na kati yao ni declan rice au kelvin phillips, harry kane au darwin nunez. Laurie anasema licha ugumu wa dili hizo lakini tayari viongozi wa manchester united wakiongozwa na ed woodward walishafanya mazungumzo na daniel levy juu ya usajili wa harry kane tokea msimu uliopita lakini kikwazo ilikuwa ni dili la sancho. Kama city watakwenda kwa haaland basi united watajaribu bahati yao kwanza kwa kane na wakati huo jorge mendez alishachukua tenda ya kufanya dili la darwin nunez kuelekea tottenham hotspurs au manchester united na hapo itategemea na dili la kane.
EtH akipewa backup nzuri ya uongozi pamoja na sisi mashabiki bila kuwa na kiraru cha kutaka kurejea haraka haraka ktk ubora wetu tunaweza kufanya jambo ktk kujenga msingi wa awali.Tuna dirisha gumu sana, kila pembe itaangaliwa manchester united. Hivi hawa wahuni wamebadilika kweli au ndio biashara ile ile?.. Kiupande wangu sina matumaini yeyote, nimejikatia tamaa baada ya kushuhudia failure ya aibu kwa msimu huu.
schlotterback ameshasajiliwa na borussia dortmund, ujio wake pamoja na sule kunatengeneza mazingira ya kuondoka kwa manuel akanji anayewaniwa na manchester united. pia kuna pau torres naye analengwa ila khofu yangu ipo kwenye ushindani dhidi ya chelsea wanaokwenda kupoteza walinzi wakati watatu.EtH akipewa backup nzuri ya uongozi pamoja na sisi mashabiki bila kuwa na kiraru cha kutaka kurejea haraka haraka ktk ubora wetu tunaweza kufanya jambo ktk kujenga msingi wa awali.
Dirisha hili lina wachezaji wengi sana wazuri wa bei chee kila idara kuliko msimu wowote ule toka nimeanza kuangalia mpira ila hawaimbwi ktk vinywa vya watu. Hawa niliowa-list hapa chini wote wana umri wa miaka 20 ~ 23 na bei zao hakuna anayeweza kuzidi hata Euro 50M.
Beki wa kati: Alessandro Bastoni, Nico Schlotterbeck, Josko Gvardiol
Beki wa kushoto: Borna Sosa, Tyrell Malacia
Viungo: Boubacar Kamara (free agent, 150k/weekly), Matheus Nunes
boubacar kamara alizungumzwa sana dirisha la january, tusubiri tuone kama tutajishughulisha kutafuta saini. Kuhusu harry kane nachukizwa na thamani yake inayoegemea paundi million 100 au zaidi na ukijumlisha umri wake naingiwa na khofu japo kuwa lewandowski na benzema wametuondoa kwenye ile dhana ya kuwapuuza wachezaji wenye miaka 30.EtH akipewa backup nzuri ya uongozi pamoja na sisi mashabiki bila kuwa na kiraru cha kutaka kurejea haraka haraka ktk ubora wetu tunaweza kufanya jambo ktk kujenga msingi wa awali.
Dirisha hili lina wachezaji wengi sana wazuri wa bei chee kila idara kuliko msimu wowote ule toka nimeanza kuangalia mpira ila hawaimbwi ktk vinywa vya watu. Hawa niliowa-list hapa chini wote wana umri wa miaka 20 ~ 23 na bei zao hakuna anayeweza kuzidi hata Euro 50M.
Beki wa kati: Alessandro Bastoni, Nico Schlotterbeck, Josko Gvardiol
Beki wa kushoto: Borna Sosa, Tyrell Malacia
Viungo: Boubacar Kamara (free agent, 150k/weekly), Matheus Nunes
Hary Kane ana maajabu gani ? Ni aheri upoteze paund 100 million kumchukua Son kuliko huyo kiaziile taarifa nilifanikiwa kuisoma asubuhi kutoka kwa mtaalamu david ornstein, nafikiri yeye ndiye muandishi wa mwanzoni kuripoti taarifa hiyo. Kwa nini awe erling haaland na si harry kane?. Any tips.
Naunga mkono.Hary Kane ana maajabu gani ? Ni aheri upoteze paund 100 million kumchukua Son kuliko huyo kiazi
My dream signing... SON > TRASHFORD.Naunga mkono.
Sijui kwa nini huyu mkorea watu wamekuwa wakimpita msimu hadi msimu. Mara 100 huyu kuliko Rashford pale United.
Ndio maana mimi huwa siwapendi wachezaji wa kiingereza wana price tag kubwa sana hapo bado hujaweka mshahara wake ambao hauwezi kupungua 350k/weekly. Pia Harry mwezi July anatimiza umri wa miaka 29.boubacar kamara alizungumzwa sana dirisha la january, tusubiri tuone kama tutajishughulisha kutafuta saini. Kuhusu harry kane nachukizwa na thamani yake inayoegemea paundi million 100 au zaidi na ukijumlisha umri wake naingiwa na khofu japo kuwa lewandowski na benzema wametuondoa kwenye ile dhana ya kuwapuuza wachezaji wenye miaka 30.
Pau Torres namuona kama yuko overhyped sana.schlotterback ameshasajiliwa na borussia dortmund, ujio wake pamoja na sule kunatengeneza mazingira ya kuondoka kwa manuel akanji anayewaniwa na manchester united. pia kuna pau torres naye analengwa ila khofu yangu ipo kwenye ushindani dhidi ya chelsea wanaokwenda kupoteza walinzi wakati watatu.