Eti ni ticha wa KlopFounder and father of Gegenpressing
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Ila media waongo aiseeee duh
[emoji34]Timu yenu yakipumbavu Sana,
Inatuchania mikeka, ishushwe TU daraja[emoji3525]
Ukimsikiliza shabiki wa nyumbu akiisifia team yake utasema booonge la teamMmebanduliwa 😁😁
Tena!?Bora hii kazi ya ukocha angepewa Carrick, huyu mjerumani ni kenge [emoji38][emoji38][emoji38]
Huyu mjerumani ni tapeli amejaa maneno mengi halafu utekelezaji ni ziroTena!?
Huyu akimaliza mkataba wake anatakiwa apigwe marufuku kujihusisha na masuala ya soka nchini Uingereza