Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,516
- 235,229
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]I want to request the Premier League government body to excuse Man U from playing the remaining matches.
The more Man U playing the more embarrasment will be upon them
Man U are not ready for this season as we thought the covid restrictions were going to stay in place until August 2022.
They will be back in style!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mods hamisheni huu uzi uende jukwaa la urembo na mitindo
Natanguliza shukrani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa mechi zilizobaki sioni mechi mtakayoshinda hata moja![emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Sasa analaumiwa Bruno kutokumwachia CR7 kupiga penati[emoji23] sasa hata angefunga ndo mgeshindaa?View attachment 2197706
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Japo timu mbovu ila naona De gea ana kismart sana yeye anaongoza karibia kila mechi anaruhusu mabao zaidi ya mawili ila hapewi lawama kabisa wala kuwekwa benchi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kipigo kimoja ni mwanzo wa kipigo kingine,
Tunakuja Oldtrafrod Alhamisi mjiandae mmeshakuwa kichwa cha mwenda wazimu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji174]Haya sasa sijui tutamlaumu maguire ama tumlaumu kocha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Li timu libovu tuu. Yaani mie nilijua hili litimu halina wajuzinwa mambo pale tulipo fanya usajili wa maguire na kuachana na coulibally....nikajua kumbe na wadhungu nao wamchongo tuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji174]
Aliyewapa ushindi ni yule mpuuzi sarr sio kwasababu ya silva kitendo Cha sarr kuendelea kucheza mpaka mwisho wa game ndio ukawafanya muongeze goal 2 kuna moja Thiago kaokoa vizuri yule mpuuzi sarr akampasia tena mshambuliaji wa Arsenal akafungaTuchel akamuingiza silva tukamkanyaga nne
Mech ya Kwanza Emirates , beki mari na kina kolasinac walimpa sifa LukazigoAliyewapa ushindi ni yule mpuuzi sarr sio kwasababu ya silva kitendo Cha sarr kuendelea kucheza mpaka mwisho wa game ndio ukawafanya muongeze goal 2 kuna moja Thiago kaokoa vizuri yule mpuuzi sarr akampasia tena mshambuliaji wa Arsenal akafunga
Hata sisi mechi ya kwanza mlishinda kwakua hatukua na mabeki na viungo wa first 11Aliyewapa ushindi ni yule mpuuzi sarr sio kwasababu ya silva kitendo Cha sarr kuendelea kucheza mpaka mwisho wa game ndio ukawafanya muongeze goal 2 kuna moja Thiago kaokoa vizuri yule mpuuzi sarr akampasia tena mshambuliaji wa Arsenal akafunga
Tukaushie mwanangu.Football sometimes is like life itself, sometimes you win, sometimes you play draw and sometimes you Manchester United.