Japo timu mbovu ila naona De gea ana kismart sana yeye anaongoza karibia kila mechi anaruhusu mabao zaidi ya mawili ila hapewi lawama kabisa wala kuwekwa benchi.

Kila siku wachezaji walewale na wanatoa output ileile. Kwanini wasipewe nafasi hata wale vijana kina Mejbri, Gernacho nk, kocha ana maneno mengi kuliko vitendo