Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nenda wewe ukabalance positioning na kucover ilo gape
 
Kuna mtu anaitwa Thiago Alcantara

Huyu jamaa anampira flani kuonekana wengine mafala tu uwanjani
Yani Mpira wa kunata sana

Mpuuzi anaujua sana huyu, kama haukubahatika kumuona xavi, wewe muangalie huyu mbwa inatosha sana
Kama hii comment mlisooma

Sidhani kama mlimshangaa huyu mbwa
 
Liverkuku utulivu wanao ila UTU hawana kabisa hawa wahuni
Kidogo lakini wamejitahidi kuonyesha uungwana kwa kutufunga goli 2 tu kipindi cha kwanza, naimani kipindi cha pili watatuhurumia tena na kwa huzuni tuliyoinyesha wanaweza kutuachia tufunge japo kagoli kamoja ka kufutia machozi.
Hawa jamaa wanaonesha wana utu ila hawapendi tu dharau.
 
Huyu kocha wetu nae ni wa michongo tu, kikosi chake jinsi anavyokipanga hua napata mashaka kama kweli ana leseni ya kufundisha ligi daraja la kwanza.
Kocha lina mineno mingi halafu uwanjani hamna kitu, yaani akili zake na Maguire kama vile zinataka kufanana.
 
Huyu maguire sii mlisema ni mzuri kuliko coulibally wa napoli
 
Heri leo sijaamua kuangalia mechi yetu na Liverpool kabisa,maana unazi ukizidi utaumia roho tu...poleni Sana mashabiki wenzangu wa man utd mlionunua na pop corn kabisa ili kufurahia burudani yenye majonzi...naamini sasa Kama mashabiki wa man utd tulishaanza kuzoea shida tayari basi hata hili halitotupa tabu maana tunajua timu yetu jinsi ilivyo...hongereni sana Liverpool hakika nyie mnastahili mnachovuna sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…