Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sisi ni wabovu ila naapa Saturday tutawapa kipigo cha mbwa koko Emirates hatutakubali kulose games mfululizo
Leo tutachapika nyingi tu tena za kutosha haswaas, ila haina maana kichapo cha leo ndio kitawapa advantage yoyote Arsenal kutufunga jumamosi.
Kwanza na nyinyi kesho mnachezea nyingi tu, na pia Man United hata ikiwa mbovu vipi hua haikubali kufungwa kizembe na Arsenal ni bora ifungwe na timu zote za ligi ila sio nyinyi misukule ya Arteta.
 
Nasevu hii comment
 
Liverpool anatimu ya kawaida Sana ,sitashangaa mkimsimamisha pale pale anfield.....kwanza mambo ya anfield ni overrated
benefica kajipigia pale goli 3 ....

Ana timu ya kawaida huku umekutana naye mara mbili, including kwako na hujapata ushindi.

Kazi imekushinda wewe, unamtupia mlemavu.
 
Kila dakika 10 inakua na goli lake,
Mpaka mpira unaisha dakika 90 tunakua tushagongwa goli 9.
Liverpool wanopocheza na wafiwa basi wawe japo na utu kidogo.
Yaani tupo na huzuni ya msiba halafu wanatuongezea msiba mwingine huo sio ubinaadamu kabisa.
 
 
Dalot fala alafu kocha anampangaje no ya telles, si angempeleka Lindelof pale wan Bissaka akae pa Lindelof alafu Dalot acheze kama winga wa kulia alafu Bailly awepo kubalance postioning maana Maguire hasara tupu. Mara Dalot amcover na kuacha gape kwa Salah.
 
Kila dakika 10 inakua na goli lake,
Mpaka mpira unaisha dakika 90 tunakua tushagongwa goli 9.
Liverpool wanopocheza na wafiwa basi wawe japo na utu kidogo.
Yaani tupo na huzuni ya msiba halafu wanatuongezea msiba mwingine huo sio ubinaadamu kabisa.
Wee jamaa nimecheka Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…