The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Huwa siwaelewi wanataka nini hasa mana mtu anatimiza wajibu wake lkn wao wanasema anataka tunzo binafsi, ss mtu unajiuliza mchezaji kama cr7 unategemea aishi kinyonge ndani ya timu? Je akipata chance asifunge awape kina Rashford? Hao kina Rashford wana magoli mangapi, c tunawaona kila siku wanaleta futuhi tu pale uwanjani? Hawa mashabiki wa utd wa cku hz wana lawama sn.Mkuu watu wamekugusa pabaya kwa kumponda Ronnie
Liverpool anatimu ya kawaida Sana ,sitashangaa mkimsimamisha pale pale anfield.....kwanza mambo ya anfield ni overratedMechi na Liverpool tuna uwezo wa kufanya vizuri iwapo RR atakuwa tayari kumweka bench
1. Pogba
2. Mangure
3. Rashford
Game plan 352
We Jamaa huishiwi vituko UTD amsimamishe liver?Liverpool anatimu ya kawaida Sana ,sitashangaa mkimsimamisha pale pale anfield.....kwanza mambo ya anfield ni overratedbenefica kajipigia pale goli 3 ....
Vijana wenye njaa kama nani vile?We are here. Ronaldo anaweza kujipatia hattrick but what UNITED get?
Ronaldo kaja nyakati mbaya, kuongeza mzigo wa usupastaa dressing room, ambayo imeathiriwa na Pogba, then vitoto vya kiingereza.
Kuna midomo ya mapundit. Kelele chetu ili timu ifike mbali tunahitaji kuondoa usupastaa kwanza, kuleta wenye njaa
Ondoa takataka zote za kiingereza, then egos (Pogba, Ronaldo). Maana kupiga sub tatizo malamamiko mengi from both wachezaji na mashabiki wao (like you) tutafika kweli?
We appreciate Ronaldo anachofanya but tunaenda wapi? Unadhani tukinunua mshambuliaji mwingine Ronaldo atakubali kutoa namba, tukileta vijana wenye njaa huku kuna ubinafsi uliokidhiri mbele tutafika kweli? (Kocha hasikiliziki).
ANYWAY TUSIHARIBIANE USHINDI, MUHIMU UNITED IMESHINDA.
Kila baada ya mechi mbili?Kuna mchezaji mwenye njaa kama mtu anayefunga hat-trick kila baada ya mechi mbili. You are talking nonsense.
hatrick ya 50 kwa klabu na 60 kwa jumlaNani kakuambia ni ya 50! Kasome vizuri
nilichokusudia ni hatrick alizofunga kwa klabu.Total Hat-tricksView attachment 2190428
Man City ndani ya miaka 10 haijawahi kuwa mbovu ina longterm plan nzuri sana. Hao wachezaji 5 unaowasema nina uhakika walikuwa ktk mkakati wa timu wa muda mrefu. Ukiangalia vizuri trend ya City ndani ya miaka 10 bila Pep ubora wao haujabadilika.Binafsi naona inawezekana kusajili wachezaji 5 hadi 6 walau kuanzia hapo ndio tuwe tunaboresha kidogo kidogo kila dirisha. Pep aliwahi kusajili wachezaji 5 ndani ya dirisha moja na ile timu ilifanya vizuri tu msimu huo.
Dalot amenenepa, yaani nikimuangalia simmalizi.Huyo huyo mkuu, confidence ishakufa now ni ovyo ila dogo ana msaada ikiwa timu itajielewa from Keeper mpaka washambuliaji.
Unategemea apocket nani sasa ikiwa wakibadilisha upande wake wa mashambulizi wapeleke kwa Shaw na Maguire, plus mawinga wabinafsi kina Trashford kupoteza mipira then full back uanze mbio kulinda.
ILA BOSS UNAWEZA PENDEKEZA RB anayetufaa tujue.
Dalot anazingua Ulinzi.
We are here. Ronaldo anaweza kujipatia hattrick but what UNITED get?