Tukifungwa leo na Norwich ndio nitakata tamaa rasmi ya top 4,
Yaani timu inayoshika mkia wa ligi itufunge itakua hamna hata hio maana yenyewe ya kuwepo top 4.
Hapa ni kumuombea njaa tu AsaniAli achapwe kama alivyochapwa Tottenham.
Le captain mwenyewe Halima Gwaya tunakuomba plz leo usifunge kwenye goli letu.