Captain Mwenye nyota zake begani [emoji2] na mganga wake Mwenye pHD.Huu Ni Mtego Ten Hag Afanye Kila Namna Atunusuru Hapa Tutaangamia Zaidi Ya Hapa Wallah Daaah [emoji26]View attachment 2187670
ETH Asipokuwa Makini Na Huyu Mtu Atamfukuzisha Kazi Mapema Kwa Performance Mbovu Itakayotokea Uwanjani.Captain Mwenye nyota zake begani [emoji2] na mganga wake Mwenye pHD.
Siyo ajabu ETH akaendelea nae[emoji28]
Atambadilishaa[emoji28].Mbona timu ya taifa anafanya fresh TU chini ya Gareth sougatheETH Asipokuwa Makini Na Huyu Mtu Atamfukuzisha Kazi Mapema Kwa Performance Mbovu Itakayotokea Uwanjani.
Kaona ni kirusi,hataki hata kufanya nacho kazi.Kwahiy babu Ronaldo mnaenda kumtupa wapiView attachment 2188088
DUU[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kwahiy babu Ronaldo mnaenda kumtupa wapiView attachment 2188088
Na wewe unaamini? Ronaldo atabaki United ila hatakuwa kwenye mipango ya muda mrefu.Kwahiy babu Ronaldo mnaenda kumtupa wapiView attachment 2188088
Natumai ETH atamuondoa huyu.
Dah, yaani ndo tumefikia kudharaulika hivi??Siyo kwa man u kutufunga aisee[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa timu yetu ilivyo sasa,na man u ilivyo..
Yaani man u sasahivi wanaweza fungwa hata na Geita FC.
Unaacha kupiga kelele aanze na magwaya unawasikiliza hao waingereza wanaotaka kumpangia kazi kocha.Haya ndio yanatakiwa..plan A kati ya plan 3 nilizozisema zinaanza kutekelezwa, ambayo ni kuondoa TAKATAKA USUPASTAA MIZIGO. View attachment 2188358
Huyu si aende tu?Luke Shaw pictured in a protective boot following surgery to remove bolts from his right leg.
View attachment 2188467