computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,039
😛ngoja nicheke kwanza..sawa
Mapema tumezikaKumbe leo msiba tunazika mapema tuu saa 8 mchana
Soma hiyoleo mun anashinda zaidi ya goli 3
aggggrrrhSoma hiyo
wamekulaa la pili top 4 bado ipo labda aende spurs ila arsenal hatoboiArsenal ashakatwa 1 huko yani tungekaza top 4 ilikuwa inaezekana kabisa ila wachezaji wetu wanavyocheza km mbeya kwanza
HahahahahI remember wakati Ragnick anakuja Manchester United alipewa sifa lukuki nazikumbuka 2
1)Mzee wa Pressing Dunia itajua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
2)Mwalimu Mkuu wa Tuchel na Klopp [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mataji aliyakimbia chelsea [emoji1787][emoji3577]Huyu Mata alisema anakuja united ili kushinda matji
Ndonga magwaya anafunga kote koteMagwaya ni beki mshambuliaji, ndio beki inayoongoza kwa kufunga magoli mengi uingereza, uzuri wake hua hachagui goli la kufunga, liwe la timu yake au timu pinzani yeye anatikisa tu nyavu.