Leo tutatoka kweli.....bora welbeck angeaza
Pengo la Rooney linaonekana wazi kabisa,
Sijaona man wanacheza hovyo bila mipango kama game hii ya leo,sijui kama tutapata hata bao 1 leo
With Welb and Januzaj we can score
Throw them in watoke Chica na Kikongwe Giggsy
62nd min.....Norwich 0 United 1