Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Timu imeeanza kuwa na confidence ,tukiendelea na hii spirit baada ya game 4 tutakuwa top four.Cha msingi ni kutoruhusu kufungwa magoli na kufunga magoli mengi kwani tuna goal difference ndogo sana
 
Timu imeeanza kuwa na confidence ,tukiendelea na hii spirit baada ya game 4 tutakuwa top four.Cha msingi ni kutoruhusu kufungwa magoli na kufunga magoli mengi kwani tuna goal difference ndogo sana

Kweli kabisa....ila kwa kuumia kwa Jones na Rafael, tunakuwa na balaa katika beki....

Rio siyo wa kutumainiwa tena sasa...labda Vida kidogo.....

Beki na viungo ndizo nafasi za kufanyia usajili mwezi ujao....

Twende sasa #ManUnited
 
Kuna ulazima pia wa kuongeza foward mmoja ambaye ni finisher mzuri kwani kumekuwa na tatizo kubwa sana kwenye ufungaji pia. Moyes atafute foward mwenye nguvu aina ya Jose Altodore mwenye nguvu ya kuforce magoli
 
Kwa sasa sidhani kama tuna tatizo kwenye ufungaji,tatizo kubwa letu ni defence.
Angalia matokeo ya mechi tatu zilizopita tumeshinda (3-0,3-1,3-2),SAF alifanya makosa ya kutengeneza mfumo ambao timu ilikuwa inamtegemea RVP kufunga so akikabwa/asipocheza timu inapata tabu kufunga.Now at least kuna wafungaji wengi RVP,Rooney,Wellbeck,Januzaj,Chicharito na Valencia.Tatizo kubwa tuna viungo wetu wengi ndio wamekua butu Cleverley,Fellaini,Young,Nani,Kagawa,Jones wamekuwa butu sana kwenye kufunga
 
Kweli.....ila mawazo ya David sasa ni kama yapo sana katika viungo na beki kidogo.....

Altidore alifunga sana wakati akiwa AZ Alkmaar....lakini akiwa na Sunderland hadi sasa amefunga goli 1 tu toka ajiunge....

Sasa kwa rekodi hiyo, sidhani kama ataivutia United kumchukua......

Kwa mtazamo wangu, sidhani kama United ina shida ya ufungaji....shida ipo katika kutengeneza nafasi za kufunga.....

Pia kuna shida katika mabeki...shida inayopelekea tofauti yetu ya magoli ya kufunga na kufungwa iwe ndogo sana....

Tukipata viungo wa kati wakali wa kusaidiana na Kagawa....tutakuwa na strikers wanne, Rooney, RvP, Javier na Danny....

Tukipata na beki wa kati wa kusaidiana na Smalling, Evans, Jones na Vida....tutapunguza tatizo sana.....

Shida inakuja kuwa, katika usajili wa Januari ni vigumu kupata wachezaji wazuri sana walio katika top level...labda twende kwa wachezaji wenye vipaji na potential ya hali ya juu, kama alivyosajiliwa Rooney katika kipindi cha Januari.....

Cha kutumainisha ni kwamba David ni mzuri sana wa kufanya usajili katika kipindi cha Januari......pia ameshasema yeye hatasajili kwa panic, bali atasajili kwa kuzingatia umri na potential ya mchezaji kudumu muda mrefu katika timu.......

Hivyo ngoja tuone itakuwaje mwezi ujao.....
 
Kwa sasa sidhani kama tuna tatizo kwenye ufungaji,tatizo kubwa letu ni defence.
Angalia matokeo ya mechi tatu zilizopita tumeshinda (3-0,3-1,3-2),SAF alifanya makosa ya kutengeneza mfumo ambao timu ilikuwa inamtegemea RVP kufunga so akikabwa/asipocheza timu inapata tabu kufunga.Now at least kuna wafungaji wengi RVP,Rooney,Wellbeck,Januzaj,Chicharito na Valencia.Tatizo kubwa tuna viungo wetu wengi ndio wamekua butu Cleverley,Fellaini,Young,Nani,Kagawa,Jones wamekuwa butu sana kwenye kufunga

Tatizo la foward ni kubwa sana timu imeshinda magoli zaidi ya 2 katika mechi chache sana na ukiangalia hata katika mechi tulizofungwa na kudraw udhaifu kwenye ushambuliaji ulikua mkubwa timu inapoteza nafasi nyingi sana.
 
mfarisayo,
Tatizo kubwa msimu huu lilikuwa kutengeneza nafasi ndio ilikuwa shida,tulivyoanza ligi mawinga wote walikuwa hawana msaada (Kagawa,Tom) nao jukumu limewashinda alivyorudi Rooney ndio amekuwa mpishi wa magoli.Magoli sio lazima yafungwe na striker kunatakiwa kuwe na wafungaji wengi.Last season mabeki Evra,Evans na Rafael walifunga zaidi ya magoli 10 lakini msimu huu contribution yao imekuwa ndogo sana.So far kuna striker 4 kama utasajili lazima kwanza auzwe striker nani auzwe kati ya Rooney,RVP,Chicharito au Wellbeck?
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Nzi
kuwahi baa sio kulewa....
James-Chester-of-Hull-Cit-006.jpg

wala kutangulia sio kufika..
David-Meyler-of-Hull-City-007.jpg

150 goals man..
Wayne-Rooney-already-in-t-002.jpg

one down,two to go...
Manchester-Uniteds-Chris--008.jpg

pick that one out...
Wayne-Rooney-scores-Manch-009.jpg

with a little bit helf THE COME BACK IS FINISHED....
Hull-Citys-James-Chester--001.jpg

IAM THE MAN....UTD
Wayne-Rooney-mocks-crest--002.jpg
 
Bora mkashindane na Blackpool, Leicester, Leeds et al ....... ...... .maana Mancs wamekwisha warithi kwenye kutoa ngawira ..... ..... ..... .... .... ...

teh!kama kuna kaukweli kidogo,ila kwa kushindana na leeds utakuwa umemwonea sana
 
No team has won on BOXING DAY after going 2 goals down in the Premier League history.Why always us ! #ggmu
 
Bora mkashindane na Blackpool, Leicester, Leeds et al ....... ...... .maana Mancs wamekwisha warithi kwenye kutoa ngawira ..... ..... ..... .... .... ...

Sawa bingwa wa EPL.........
 
[h=3]MATCH ARTICLES[/h]
59F7E2E220994998A41DFCEFBEE4944B.ashx

27/12/2013 15:00, Report by Mark Froggatt
1 of 3 Next
[h=1]Preview: Norwich v United[/h] Date, time and coverage: Saturday 28 December, 15:00 GMT kick-off. The match will not be televised live in the UK, but you can follow it via ManUtd.com's rolling blog and MUTV Online's live radio commentary.

Form Guide: Manchester United began the festive programme in style by overcoming a two-goal deficit to secure a dramatic 3-2 victory over Hull City on Boxing Day. That triumph was the champions' fifth consecutive win in all competitions and David Moyes' men hope to maintain that impressive run against Norwich City at Carrow Road. The Canaries have won just one of their five matches in December and most recently lost to relegation-threatened Fulham on Thursday, a defeat that leaves them in 14th place in the Barclays Premier League table.
Ins and outs: Antonio Valencia is suspended for this trip to Norfolk after collecting his fifth booking of the season against Hull, while Rafael is doubtful after sustaining a groin injury. Phil Jones is also unavailable due to knee damage, but Michael Carrick could start after making his return from an Achilles problem as a substitute. Meanwhile, Norwich are definitely without Michael Turner (suspended), Anthony Pilkington, Elliot Bennett and Alexander Tettey. Jonny Howson will face a late fitness test on his back.

Betting: Official betting partner bwin have priced Norwich as outsiders at odds of 6.00, with the draw at 4.00 and United at 1.53. If you're looking for more value, why not back Shinji Kagawa to recreate last season's hat-trick against the Canaries at odds of 81.00?
The manager: Chris Hughton has forged a solid reputation as a competent manager and the
 
Team news:

Wayne Rooney hasn't travelled with the team to face Norwich at Carrow Road. It is believed he has just been rested....
 
First XI

De Gea, Smalling, Vidic, Evans, Evra, Young, Carrick, Cleverley, Giggs, Kagawa, Hernandez

Subs

Lindegaard, Anderson, Welbeck, Fabio, Fletcher, Zaha, Januzaj
 
Back
Top Bottom