Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,319
- 5,074
Hata Kama Ni Mechi Chache Lakini Sidhani Partnership Ya Maguire Na Lindelof Ikicheza Izo Mechi Tisa Mfululizo Ina Huo Uwezo Wa Kuruhusu Magoli Matatu Tu Ya Kufungwa.Kipimo cha mechi tisa tu kinatosha kusema hii ni best partnership mkuu?
Msimu uliopita walicheza mechi zote za ligiHata Kama Ni Mechi Chache Lakini Sidhani Partnership Ya Maguire Na Lindelof Ikicheza Izo Mechi Tisa Mfululizo Ina Huo Uwezo Wa Kuruhusu Magoli Matatu Tu Ya Kufungwa.
Aaah wapi bora niache kushabikia mpira.Njoo Liverpool mkuu
Vipi kipigo kilitokea?Alikua na Corona amepona na tayr yupo mitaa ya London anasubili kipigo kutoka kwa TT
Mata amegoma, anahitaji kucheza na possibly ataondoka mwishoni mwa msimu huu..Rene Meulensteen would be a good pick, Juan Mata would be a good choice too.
Tumecheza mechi 11 tukafungwa Goli 2 tu msimu wa 2019/2020 baina ya January na March tena tukicheza baadhi ya mechi ngumu kama Man City mara 2, Chelsea mara 1, wolves mara 1.Hata Kama Ni Mechi Chache Lakini Sidhani Partnership Ya Maguire Na Lindelof Ikicheza Izo Mechi Tisa Mfululizo Ina Huo Uwezo Wa Kuruhusu Magoli Matatu Tu Ya Kufungwa.
Umemkosea sana Mzee fergie Aisee. Kama Fergie angekuwa anasikilizwa Club isingekuwepo hapa.Discussions are progressing now about the project, long-term plans, new signings, summer budget and club structure. Ten Hag wants full clarity on Man United plans.
Nimependa hii sentesi. Kocha mpya atarajiwae anataka mipango kama yote ya miaka inayokuja, board wamuekee na yeye aridhie mipango hio na aweke mahitaji yake kwenye mkataba
Nmependa sababu hapa itazuia wajinga wajinga akina ferguson na wenzake na DNA zao za kipuuzi, kuingilia ovyo au kua na say kwenye umanager wake na ufundishaji wake na kutaka kwake wachezaji wapya, hata kama mchezaji anapendwa vipi kama ni mzembe hana faida kwenye timu aondolewe , waje wengine watakaoipambania timu.
Labda hapa tunaweza kuanza kupambania nafasi ya nne au hata ya tatu misimu ijayo, lakin si kuchukua kombe lolote..wamiliki wale wapuuzi watakapoondoka na kuja wengine haswa waarabu wenye pesa zao na wenye uchungu na walichokipenda na kukinunua, basi labda man utd ndio tunaweza kubeba hata kombe moja la ligi kuu au FA ..ndio yatafuata uefa na mengineyo..
Acha kujipa faraja Kwa kichapo Cha Jana Mkuu!Mabingwa wa DUNIA nzima View attachment 2179331
Astagafirulah Leo Mzee Ferguson amekuwa mjingamjingaDiscussions are progressing now about the project, long-term plans, new signings, summer budget and club structure. Ten Hag wants full clarity on Man United plans.
Nimependa hii sentesi. Kocha mpya atarajiwae anataka mipango kama yote ya miaka inayokuja, board wamuekee na yeye aridhie mipango hio na aweke mahitaji yake kwenye mkataba
Nmependa sababu hapa itazuia wajinga wajinga akina ferguson na wenzake na DNA zao za kipuuzi, kuingilia ovyo au kua na say kwenye umanager wake na ufundishaji wake na kutaka kwake wachezaji wapya, hata kama mchezaji anapendwa vipi kama ni mzembe hana faida kwenye timu aondolewe , waje wengine watakaoipambania timu.
Labda hapa tunaweza kuanza kupambania nafasi ya nne au hata ya tatu misimu ijayo, lakin si kuchukua kombe lolote..wamiliki wale wapuuzi watakapoondoka na kuja wengine haswa waarabu wenye pesa zao na wenye uchungu na walichokipenda na kukinunua, basi labda man utd ndio tunaweza kubeba hata kombe moja la ligi kuu au FA ..ndio yatafuata uefa na mengineyo..
si fresh wanasema cheki kwa fabrizo Romano TwitterOya ETH vp, mwenye updates tafadhali.
Aliposema "his six-pack and his body' Pana dalili ya ⛷️⛷️Rooney kajibuView attachment 2179805
Utashangaa Man u anafungwa na Everton
Ongeza hapo man utd 4-0 Everton
Malizia....kwasababu zimepita siku nyingi hatujaona vituko vya beki ghali zaidi na mwenye kipaji cha kipekee duniani....binafsi naenjoy Sana kumuona Maguire pale kwenye ukuta WA nyumbu unyumbuniLeo dunia nzima inafuraha