Dybala anataka kucheza uefaWakuu Dybala anaondoka Juve bure mwisho wa msimu, anatufaa hatufai?
Mkuu Chief,hii mbona iko wazi kabisa. AWB hana asili ya kusaidia mashambulizi hivyo inamlazimu Lindelof akafanye hiyo kazi naye atafanya majukumu ya kiulinzi kwa niaba yake. Tofauti na Dalot,yeye akili yake iko kwenye kushambulia zaidi hivyo hutamuona Lindelof akienda mbele wakati tayari Dalot kashaacha nafasi huku nyuma.Si jambo la Ajabu toka AWB arudi kwenye Kikosi tumeanza kupata Ushindi mzuri, angalia goli 4 vs Leeds angalia Lindelof Alivyokuwa anapanda angalia AWB alivyokuwa ana cover nafasi yake. Kuona vizuri Tactic anayoweza kuleta AWB angalia highlight goli la 2 vs leeds.
Mbio si bado zipo wazi? Unahitaji swali zaidi?Dybala anataka kucheza uefa
Unahitaji jibu zaidi?
1. Man cityMbio si bado zipo wazi? Unahitaji swali zaidi?
Manchester United waliamua kuachana na mpango wa kusajili mchezaji kwenye hili dirisha dogo la usajili kwa sababu ya ugumu wa kufanya biashara ya mchezaji,Vipi Kwa manchester UTD shida ni nini?? Wachezaji walewale Kocha akadai wanamtosha Hana haja ya kuongeza MTU LAKINI anae taka kuondoka mlango uko wazi,Je.Kwenye kupata matokeo shida ni nini??
Kuna taarifa za udaku pia. Izo zako ni za udaku kwa sababu RR alisema wenyewe kikosi kinajitosheleza.Manchester United waliamua kuachana na mpango wa kusajili mchezaji kwenye hili dirisha dogo la usajili kwa sababu ya ugumu wa kufanya biashara ya mchezaji,
sababu nyingine ya msingi ni kwa pande zote mbili kufikia makubaliano ya kutokusajili mchezaji hususani wa kiungo kwa dhumuni la kutokuingilia mipango ya kocha wa kudumu ajaye.
kwa mfano taarifa zinadai ralf rangnick alimuhitaji haidara wa Leipzig au yule kiungo wa Borussia aliyekwenda Juventus.
jaalia kocha ajaye akasema haidara haendani na falsafa yangu hivyo auzwe unadhani ni sahihi?
ndio maana klabu haikuhangaika na usajili ila ikaruhusu kuondoka kwa baadhi ya wachezaji kwa mkopo kwa kipengele cha kutokuuzwa.
kocha ajaye ndiye atakayeamua khatma ya kila mchezaji kuanzia wale walioishiwa mikataba kama pogba na wale walio kwa mkopo.
jitahidi kufuatilia taarifa.
Wapi hujaelewa sasaa!?Kuna taarifa za udaku pia. Izo zako ni za udaku kwa sababu RR alisema wenyewe kikosi kinajitosheleza.
.Natamani timu hii yetu isicheze uefa wala europa yan natamani tusicheze kwa miaka mitano. Na mechi zilizobaki tufungwe zote. Pengine ndio akili za watawala zitakaa sawa.
TEN HAAG anapewa timu hiiManchester United waliamua kuachana na mpango wa kusajili mchezaji kwenye hili dirisha dogo la usajili kwa sababu ya ugumu wa kufanya biashara ya mchezaji,
sababu nyingine ya msingi ni kwa pande zote mbili kufikia makubaliano ya kutokusajili mchezaji hususani wa kiungo kwa dhumuni la kutokuingilia mipango ya kocha wa kudumu ajaye.
kwa mfano taarifa zinadai ralf rangnick alimuhitaji haidara wa Leipzig au yule kiungo wa Borussia aliyekwenda Juventus.
jaalia kocha ajaye akasema haidara haendani na falsafa yangu hivyo auzwe unadhani ni sahihi?
ndio maana klabu haikuhangaika na usajili ila ikaruhusu kuondoka kwa baadhi ya wachezaji kwa mkopo kwa kipengele cha kutokuuzwa.
kocha ajaye ndiye atakayeamua khatma ya kila mchezaji kuanzia wale walioishiwa mikataba kama pogba na wale walio kwa mkopo.
jitahidi kufuatilia taarifa.
Tatizo Man u wachezaji wakukaa benchi ndio wanapata nafasi na kula mishahara minonoMartial ndio ole Amemtaka ila logic yangu si kwamba ole ndo ameagiza alipwe 200k kwa wiki hio si kazi yake.
Kama umewahi kufanya kazi hata ofisi ndogo utalewa Ninachoongea, supervisor wako ama mkuu wa kitengo anaweza kutoa report ukaachishwa kazi ama ukaongezewa mshahara ila hapangi yeye ni kiasi gani, Mabosi juu hio ni kazi yao, na kwa Man U ni Matt judge chini Ya Woodward.
Mkuu AWB ni Quality RB on its way, tatizo lenu nyie munapenda kuiga sababu kuna Mchezaji x mahala Fulani basi mnataka Awb awe kama Huyo X bila kuangalia Anacho add kwenye timu. Tunaweza kuwa na Attacking oriented RB na tukawa na AWB same squad. Nimeangalia Man U miaka mingi sana Nimemuangalia Mou miaka kibao na timu nyingi,
Nimemuona Fergie Akimpanga Fletcher, Owen Hargreaves, Smalling na Jones kama Beki wa Kulia na kumuweka Bench Rafaeli ama Neville, sababu ya Tactic ya mechi Kumkaba mtu fulani. Kutegemea na position Jones alipangwa hadi no 6 anatembea na Fellaini tu ama Park na Pirlo, Hargreaves na Messi etc wote hawa walifanya kazi yao kwa ufanisi mkubwa sana na hizo mechi zilikuwa muhimu (Tulibeba hadi UCL kwa hii strategy)
Nimeshamuona Mou madrid Pale anampanga Essien kama namba mbili, tena UCL arbeloa anasugua Benchi,
Kuna mechi ili kunulify mtu fulani Ama Threat fulani you need someone like AWB. Pale Paris alichomfanya Mbape chenyewe kina Worth 10M
Si jambo la Ajabu toka AWB arudi kwenye Kikosi tumeanza kupata Ushindi mzuri, angalia goli 4 vs Leeds angalia Lindelof Alivyokuwa anapanda angalia AWB alivyokuwa ana cover nafasi yake. Kuona vizuri Tactic anayoweza kuleta AWB angalia highlight goli la 2 vs leeds.
Na Maguire was Class, sababu Msimu huu ana Hit and miss doesnt mean ni mchezaji mbaya, subiria Kocha anaekuja ataamua mwenyewe.
Sasa unaandika matimu bila points, games played n.k huo ni ubashiri wako au ni kitu gani? sijakuelewa umeandika hapo kutukumbusha msimamo au utabiri au point yako ni ipi? Kwamba Arsenal atamaliza juu ya chelsea? Sawa, ila mbio za top 4 zipo wazi kama ilivyo kwenye ubingwa tu1. Man city
2. Liverpool
3. Arsenal
4. Chelsea
Mbio zipi ambazo zipo wazi?
Kwa maoni yako upo sawa, siwezi kukupinga.Hakuna cha mbio, tunapoteza muda tu.
Naweka wazi msimamo wangu kabisa hapa kwenye suala la kocha.ameandika James ducker (tier 1)
PSG could be spared compensation bill of £15-20m if Pochettino handed #mufc job.
Formal talks planned with Poch & other Utd candidates after Ten Hag interview kickstarted process on Monday.
Ten Hag could take Mitchell van der Gaag with him if got job
Sijui poch anaconnection pale man u....alafu maswala ya kuwa sikiliza hao kina ferg na sijui malegend ndio kuna tupoteza saiz ungekuta tupo na conteNaweka wazi msimamo wangu kabisa hapa kwenye suala la kocha.
Kama asipokuja ETH au Enrique,basi nitawapisha kidogo muendelee na hii timu ili nifanye mambo mengine kwa msimu ujao.
Sijui board inaona nini kwa Poch!
hapo kwa antonio conte umenikumbusha kauli za gary neville alipoonesha wasiwasi juu ya tetesi za kuajiriwa kwa conte baada ya kufukuzwa kwa solskjaer, gary alisema antonio haendani na falsafa za kiuchezaji za man utd zinazojitanabahisha na soka la kushambulia.cha ajabu baada ya kufungwa na atletico madrid amewashauri viongozi wa man utd wamsajili diego simeone. sijui umeielewa hoja yangu?Sijui poch anaconnection pale man u....alafu maswala ya kuwa sikiliza hao kina ferg na sijui malegend ndio kuna tupoteza saiz ungekuta tupo na conte