Pele akuhit 1000?Sipendi manure ashinde ila napenda Ronaldo akifunga
Sasa Ronaldo aweka rekodi ya dunia kwa historia ya soka kufunga magoli mengi kuliko mchezaji yeyote anayecheza soka na aliyewahi kucheza soka. Magoli 807 nadhani zaidi ya pele, maradona, mesi nk
Pele akuhit 1000?
Arsenal wana advantage ya game nne..acha ungese
Tupo mkuu, mechi moja isifanye mtudharau, kama vipi aje happ Chelsea umshabikie vizuri.Wale mamluki waliokuwa wakisema CR7 kaisha auzwe mko wapi
Wanakuambia Ronaldo nje aanze Elanga, inasikitisha sn.Wale mamluki waliokuwa wakisema CR7 kaisha auzwe mko wapi
Wengi hawakuona. Mpira alioupiga Fred umefunikwa na Magoli ya CR7 wakati mojawapo ya magoli hayo kuna assist ya Fred tena ya kiwango sana.Leo Fred kacheza mpira kama Mbrazil haswaa!
Tafuta mtu wa kumkosoa co cr7 ataku disappoint sn.Tupo mkuu, mechi moja isifanye mtudharau, kama vipi aje happ Chelsea umshabikie vizuri.
Mimi sijui sana kuhusu mashabiki kujaza uwanja, ila kwa sisi wenye mabanda umiza mechi za Manchester untd ndio huwa zinaingiza kiasi kikubwa kutokana na wingi wa watazamajiMkuu unajichosha bure tu wa shabiki wa man city wengi ni wajuzi tu hapo man city yenyewe daraja imepanda elfu7 sasa pana shabiki hapo hawa madogo utoto mwingi aangalie man united kwanza hii cite ya mwaka gani na city site yao ni ya mwaka gani usijitese bure uyo dogo ni zero grain
Noma mnoWengi hawakuona. Mpira alioupiga Fred umefunikwa na Magoli ya CR7 wakati mojawapo ya magoli hayo kuna assist ya Fred tena ya kiwango sana.
Hakika mkuu.Wengi hawakuona. Mpira alioupiga Fred umefunikwa na Magoli ya CR7 wakati mojawapo ya magoli hayo kuna assist ya Fred tena ya kiwango sana.
Ile pass mchinjiko goli la kwanza ilikuwa murua sanaLeo Fred kacheza mpira kama Mbrazil haswaa!
Not now mzee.Tafuta mtu wa kumkosoa co cr7 ataku disappoint sn.
We're living the moment! United fans are the happiest in the world while their club is not doing well. Ask yourself, why?Yaan nyie mabata mnachekesha Sana ushindi wa Jana kwa totenham mbovu mnajiona mpo top4 tayari
Juz TU hapa mmekaa mech 4 mfululizo bila ushindi na mkala bomba 4 kwa city
Je mngekuwa mnashinda Kama city au liver nadhana tungekuwa hatunywi maji
Salah debruine wiki kwa will wanafunga Wala hatusikii kelele
Huyo babu yenu kaotea 3 kelele tupu
Arsenal kazen tuwapeleke Hawa paka conference league
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hao hawana akili, naona cr7...kawarudisha kwenye reli na akiendelea katika ubora huu, top 4 guaranteed na kikubwa itahitajika MUMFUNGE ARSE8 ili kulower temper on 4th Spot!!!Wanakuambia Ronaldo nje aanze Elanga, inasikitisha sn.
Mmmeshaanza, halafu mechi ijayo mnaanza kumtukanaIle pass mchinjiko goli la kwanza ilikuwa murua sana
CaptainnnnnnnView attachment 2148359