Mkuu, issue ya nani acheze na nani asicheze Ina sababu nyingi zaidi ya ambavyo huwa tunafikiri.Kama shida wachezaji,Kocha atumie wa wachache anao waona wanafaa wengine akachukue wa acamedy kwani kina Rashiford walitokea wapi? Waingizwe kina Rashiford wengine kutokea waliko toka.
Kocha aamini madogo,Mbona kina foden ,Kina Jones,kina Anord kina Saka wanauchakata mpira fresh TU licha ya umri wao,Kina kimmich wako njema.Kwanini???? Waliaminiwa na bado wanazidi kuaminiwa.
Kwanini lawama ziende Kwa kocha??? Kwasababu yeye ndiye Mwenye maamuzi yupi aanze yupi asianze Kwa sababu anazo zijua yeye.Kocha huwezi kuona shida ni wachezaji,bado una mpanga vile vile.Afu unalia shida ni mchezaji na una muona makosa anayo yafanya bado una mweka kwenye kikosi.Ivu una kichaaa wewe.Kwani mchezaji anajiweka kwenye kikosi??? Mpaka kuwekwa kwenye kikosi maana ake kaaniniwa.Motivational speaker yulee,Aachane na ukocha aende kwenye uchambuziiii....
Issue ya Ronaldo, japo I have nothing against him ila ilikua a matter of time tu kunasa kwenye tuta.Wewe una mahaba na Ronaldo,Ata avatar Yako inaonesha wazi.
Swala la Ronaldo hata Allegri alilizungumzia,Wewe unaongea Nini???
Shida ya kocha huyu..hawapangi madogo wa akademy Tena anao kwenye timu ya wakubwa....Kama shida wachezaji,Kocha atumie wa wachache anao waona wanafaa wengine akachukue wa acamedy kwani kina Rashiford walitokea wapi? Waingizwe kina Rashiford wengine kutokea waliko toka.
Kocha aamini madogo,Mbona kina foden ,Kina Jones,kina Anord kina Saka wanauchakata mpira fresh TU licha ya umri wao,Kina kimmich wako njema.Kwanini???? Waliaminiwa na bado wanazidi kuaminiwa.
Kwanini lawama ziende Kwa kocha??? Kwasababu yeye ndiye Mwenye maamuzi yupi aanze yupi asianze Kwa sababu anazo zijua yeye.Kocha huwezi kuona shida ni wachezaji,bado una mpanga vile vile.Afu unalia shida ni mchezaji na una muona makosa anayo yafanya bado una mweka kwenye kikosi.Ivu una kichaaa wewe.Kwani mchezaji anajiweka kwenye kikosi??? Mpaka kuwekwa kwenye kikosi maana ake kaaniniwa.Motivational speaker yulee,Aachane na ukocha aende kwenye uchambuziiii....
Shetani kwetu kapashindwaNyie mnaraha Sana subirini shetani atarudi
Tatizo la United ni Board.Mkuu united hawaeleweki wamekumbwa na nini maana skysport niliona wanasema kuwa "INASIKITISHA ATA WACHEZAJI WANAOIBUKA KUTOKA ACADEMY NAO BAADA YA MUDA WANAKUWA MAFLOP" ...ukiangalia ni kweli refer dogo wa united yule Daniel james waliyempeleka leeds alivyoingia first timu akawa fire kila muda ulivyokuwa ukienda akawa anaflop...sijui kuna shida gani pale trafford!
MIMI SIO FANS WA UNITED LAKINI NAWEZA SEMA...SHIDA KWA MAN-U SIO KOCHA NDUGU NI WACHEZAJI WENYEWE YANI NUSU YA WACHEZAJI WA FIRST TEAM HAWASTAHILI KUWEPO HAPA EITHER VIWANGO VIMESHUKA AMA HAWAENDANI NA HADHI YA IYO CLUB...Kama ni ishu kocha babu RR akiondoka atakuwa ni kocha watano kushindwa kazi hapo united nyuma ya moyez, Van Gal, Mou, na Ole. Ila mie niliposhtuka mapema kuwa united ni janga si kipindi moyez alivyoboronga bali ni kipindi ambacho KOCHA MBOBEZI NA MKONGWE WA MIFUMO MUHOLANZI LUIS VAN GAL ALIVYOISHINDWA...Basi pale nilijua hakuna kocha atakayeletwa pale united atatoboa!...kinachoendelea ni mwendelezo tu.
Kimtazamo navyoona kama kweli kuna wachezaji walio wengi wamemaliza mikataba yao...wangeachwa tu waende alafu new project iandaliwe na sajili mpya zije kufanyika based na kocha mpya ajaye anavyohitaji pia apewe miaka 2-3 ya kusuka timu, ndo warudi tena katika competitive scheme...katika hiyo miaka 2-3 atakayepewa kocha mpya asiwekewe condition ya "LAZIMA ABEBE VIKOMBE" badala yake ambiwe tu atatakiwa kuingia big 4 bhasiii...japo ata hiyo yenyewe inaweza ikawa ngumu kwake kwa mwaka wake wa kwanza wa kazi maana uwepo wa makocha wakubwa pale EPL kama Pep, Klop, Tuchel na Conte...kuingia big4 inaweza isiwe rahisi in his first year of ricruitment!
Sahivi imeshajulikana wachezaji ndo tatizo.Kuna baadhi ya fans wa united walianza mdhihaki ronaldo kuwa ndio tatizo pale united since his arrival after poor match results ila wanashindwa kuona hali ni mbaya kwa ile timu nzima...mungu kajaribu kuwaonyesha kuwa shida sio ronaldo juzi hakuwepo na mumefanyiwa dhahama na city boys!
View attachment 2143141
Na za chini chini kutoka kwa watu wa karib wa cr7 inasemekana alikuwa hana injury yule jamaa na alishajua nini kinaenda tokea kule etihad!!!...pia hafurahishwi na usemi kwa baadhi ya UTD FANS Kuwa yeye ndo tatizo kikosini.
View attachment 2143144
Acha kuongea upumbavu.Bora Ole kuliko huyu motivational speaker.
Ole alikuwa na pressure tu[emoji28] lakini ange endelea ange onesha changes.
ACHA KUJIFANYA HAUONI.
Ole angekuta structure inayoeleweka, angeperform vizuri tu.Table position inategemea factor nyingi. Ubovu wa opponent wako unaweza fanya ukabaki nafasi ya juu japokuwa na wewe tia maji tia maji.
Shida pale United sio ya kocha tu, au wachezaji tu. Ila mtizamo wa team nzima kuanzia wamiliki ,board etc.
Club Ile inastruggle zaidi uwanjani tu, ila sector zingine it's not that bad.
Ki-biashara bado ni kati ya team bora pale England, na kwa kuwa wenye maamuzi makubwa (wamiliki) ndicho wanachoangalia zaidi, kwao sio big deal kusua sua uwanjani/kukosa trophies.
Kwenye issue ya uwanjani ;
Ni ukweli usiopingika kwamba character za wachezaji pale OT zinatawaliwa na Ego zaidi na si vinginevyo. Wachezaji sahivi pale wana nguvu sana ya ku-influence nafasi ya kocha na ndio sababu unaskia "The can/can't perform under a certain coach while hali inakua tofauti wakiwa chini ya kocha mwingne"
Since Fergie amestaafu so far nimeona character mbili tu za coaches ambao at least wangeweza deal na hizo Ego (LVG & Mourinho).
Kila mmoja ana mapungufu yake nakubali, lakini somehow kama wangeachwa waishi kwa philosophy zao, team ingepiga hatua.
Mourinho kapiga kelele sana & alikua hakubaliani na laziness ya Martial, japo dogo (Martial) ni fans favorite ila juhudi zake uwanjani ni less than required. Pogba yule ana influence kubwa kwenye dressing room, na ana toxic mentality, japokua uwezo anao mkubwa (talent), ila inabid kufumba macho & move on...
Wachezaji wale wanapenda coach ambaye ni Mr. Nice guy, ndo maana wanamtamani Pochetino, ila yule nae ni Ole Gunnar aliyechangamka tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara zote, ucaptain hapewi mchezaji mwenye jina kubwa au star.Unachonena hapo ni kweli kwangu mimi pia Bwana maguire hastahili kuwa team captain...simply THAT ROLE IS TOO BIGGER FOR HIM, Kwanza captain anatakiwa either awe mtu anayejuwa misingi/falsafa ya club na aliyopo klabuni kwa miaka mingi au mwenye uwezo wa kuhandle pressure ya timu kwenye locker rooms na mwenye convicing power/ushawishi ndani ya timu...KWA SIFA HIZO NDUGU MAGWAYA HANA ATA MOJA HAPO SASA SIJUI WAMEWAZA NIN KUMPA YEYE?...
Bora ata wangemkabidhi iyo role cr7...ambaye anafahamu falsafa ya united kwa kuwa alishawahi kukipiga OT na pia ana convicing power tumeliona hilo ata kwenye timu yake ya taifa kule ureno.
Mkuu uliyosem nimeona ata baadhi ya mashabiki uko England wanademand board ivunjwe ila nionavyo mimi ili ni gumu maana hayo yanategemea zaidi maamuzi ya wamiliki ambao ni GLAZERS FAMILY...na kwakuwa hao jamaa upande wa marketing unaendelea kuingiza pesa za mauzo ya jezi na mikataba minono kutoka kwenye makampuni kibiashara pale united...hawawezi fanya hayo maamuzi maana yakwao yanawaendea kwahiyo hawana haja na furaha ya fans, members na supporters wa clubs...Tatizo la United ni Board.
Hakuna kocha anaepewa nguvu ya kuamua anataka nini bila kuingiliwa na board.
Na mbaya zaidi board haina watu wanaojua mpira.
Na mbaya zaidi wachezaji wameshakuwa miungu watu, wanalipwa mishahara mikubwa isiyolingana na viwango vyao. Wachezaji wananunuliwa based on uraia wa Uingereza na hawana viwango.
Tutabadili makocha wote duniani, ila nakuhakikishia, kama board itakuwa ndo hii ya type za kina Ed Woodward, tutaendelea kufeli milele.
Ralf ni the best way forward kwa kuanzisha project mpya. Ila mashoga kama kina Neville, Paul Mesron wameshaanza kumkejeli. Labda wanataka mabwana zao waje pale.
Project mpya haitakiwi kumuangalia mtu usoni. Kinyume cha hapo, miaka 20 kama ya liverpool itatuhusu.
Sasa mkuu ukisema ivyo didhani kama ishu ni Ustaa ama sio...kikubwa awe na sifa nilizosem apo awali sidhani kama ulivyosema apo ina msingi...kwa kuwa tumeshuhudia mastaa kama Messi, Ronaldo, lewandowsk, ata iniesta walishawai vaa armbands za ucaptain mara kadhaa tena wakutegemewa kabisa japo kuwa ni mastaa.Mara zote, ucaptain hapewi mchezaji mwenye jina kubwa au star.
Timu zote duniani zipo hivyo.
Poch ni kama tumemrudisha Ole tukambadilisha jina.Mkuu uliyosem nimeona ata baadhi ya mashabiki uko England wanademand board ivunjwe ila nionavyo mimi ili ni gumu maana hayo yanategemea zaidi maamuzi ya wamiliki ambao ni GLAZERS FAMILY...na kwakuwa hao jamaa upande wa marketing unaendelea kuingiza pesa za mauzo ya jezi na mikataba minono kutoka kwenye makampuni kibiashara pale united...hawawezi fanya hayo maamuzi maana yakwao yanawaendea kwahiyo hawana haja na furaha ya fans, members na supporters wa clubs...
Ilifika kipindi msimu uliopita kuna baadhi ya fans waliwakataa hao glazers kwenye mgomo wa #GlazersOut kwa malalamiko ya kuwa KUNA SEHEMU YA MAPAA YA UWANJA PALE OT YANAVUJA MAJIRA YA MVUA lakini kina glazers hawana habari na marekebisho uku wakiwa wanakusanya mapato mengi kutoka kwa club,
Kimsing ningekuwa na mamlaka pale OT yule RR alitakiw kuwa DOF kama alivyotumikia kwa kipind kirefu akiwa RedBull Football Group then bwana Erik Ten-hag aje akabidhiwe timu kama kocha mkuu apewe muda wa kusuka timu ata 2-3yrs...pia aletew watu wake anaowataka yeye bila kuingiliw na bodi kisha kusubiri impact yake. Siwashauri kumchukua Pochettino maana yule jamaa tactic zake sio za timu kubwa zenye njaa ya vikombe ijapokuwa anauwezo mzuri wa kuunganisha timu kama tulivyomuona spurz, pia yale mambo ya DNA yatupiliwe mbali na hao kina neville wasisikilizwe kabisa katika maamuzi ya bodi.
Arm bands zinavaliwa na hao wengine wakati captains hawapo uwanjani.Sasa mkuu ukisema ivyo didhani kama ishu ni Ustaa ama sio...kikubwa awe na sifa nilizosem apo awali sidhani kama ulivyosema apo ina msingi...kwa kuwa tumeshuhudia mastaa kama Messi, Ronaldo, lewandowsk, ata iniesta walishawai vaa armbands za ucaptain mara kadhaa tena wakutegemewa kabisa japo kuwa ni mastaa.
Ok!...lakini ata hivyo bado bwana magwaya licha ya kuwa yeye sio staa lakini hana sifa za kuwa CPT mtu anakabidhiw ucaptain hana ata mwaka pale OT. Ni bora ata wangemkabidhi DeGea bhasi maana jamaa anajituma na yupo pale kwa muda...unless hana ubavu wa kukoroma kwenye locker room.Arm bands zinavaliwa na hao wengine wakati captains hawapo uwanjani.
Kila timu ina kapteni mkuu na yule ambae anakuwa kapteni uwanjani kama kapteni mkuu hayupo.
Ole Ilibaki Padogo Tu Awape Ubingwa Wa Ligi Man U Msimu Ulopita...Sijui Kilimkuta Nn Jamaa Akashindwa Kuwa Na Consistency.Ole angekuta structure inayoeleweka, angeperform vizuri tu.
Zama zake zimekuja kuisha utd au co? Pogba naye zama zake zimeisha, Fred zama zake zimeisha, Bruno zama zake zimeisha, Cavani, Rashfod, wote hao zama zao zimeisha. Lkn zimeishia utd.Yani uwe ovyooo ufike fainali ya Europe, ufike nusu fainal kila kombe,Umalize nafasi ya pili.
Acha mahaba na Ronaldo Ww,Zama zake zake zishaisha.