Kwa hali ya timu ilipofikia strategy nzuri ya kurejea ktk ubora Ralf aongezewe miezi 6 mpaka mwezi 12 kumsubiri Luis Enrique.
Sioni tukikaa top 4 msimu huu hakuna haja ya kuharakisha kuleta kocha mpya. Tunahitaji kocha mwenye kiburi pia awe fundi nje ya hapo tutapiga mark time tu.