Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sijui unaangaliaga mpira wa wapi yani Rashford aanze mbele ya sancho hehehe ajabu.
 
Yani watu wana furaha sana hapa sijui huko yani kweli man u inapendwa sio lwa furaha hizi.[emoji16][emoji16]
Dunia nzima inalipuka kwa shangwe.
Nimeamini maneno yako hii ni timu ya dunia, yaani leo watu wote wanafuraha, kila unaepishana nae barabarani unamuona anatabasamu.
 
ARV bado unasimamia kauli yako kuhusu Sancho na Pogba au tayari umeshaifuta?
Mtaani leo watu wote wanafuraha mpaka watoto wadogo.
 
[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]nyumbu kama nyumbu mna jisahau sana
 
Hii timu ikicheza na wanaume lazima iachame tu
Lazima Manure ni jinsia ya kike tena iliyovunja ungo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…