Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mpaka sasa bado sijajua kwanini Ole alimgeuza Guardiola kuwa kibonde wake ilihali yeye alikuwa kibonde wa kila kocha pale EPL
 
We fala sisi vita ya North West Derby hatuiwezi. Kwanza kwanini unataka sisi tushinde mechi ngumu kama hiyo, shida nini? [emoji23]
Hio match sio ngumu mbele ya Ronaldo na bruno mzee,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shida ni kwamba lazima mshinde hio ili muwe na uhakika zaidi top 4 ,maana arsenal anapalilia ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…