Suala sio blacks au whites.Mzee atakua hajitumi, black tuna tatizo.
Alitakiwa amaintain ile fomu yake ya PSG vs Man U. Angeenda mbali.
Huyo kiungo Anayeongoza magoli ni mason mount mwenye goli 7 Acha kukaririRalf Rangnickelodeon anakuambia Maguire ni kapteni na hakuna namna atamuweka benchi anachoamini yeye Maguire ataendelea kuimarika siku baada ya siku.
Hold on:
Sasa hivi ana miaka 28.
Alinunuliwa kwa Milioni 80.
Kwamba mchezaji wa 80M unamnunua ili aje kuimarika? Na sasa anaelekea ukingoni.
Mwingine kanunua mshambuliaji kwa 100M lakini anayeongoza kwa magoli ni kiungo na huyo kiungo ana magoli 6 ya penati.
Na mwenye penati ana magoli mangapi? Mount la saba kalipata labda baada ya mimi kucite hii.Huyo kiungo Anayeongoza magoli ni mason mount mwenye goli 7 Acha kukariri
Tafuta ujue ana goli ngapi Ila uache kuongopaNa mwenye penati ana magoli mangapi? Mount la saba kalipata labda baada ya mimi kucite hii.
Nilichoandika still stands.Tafuta ujue ana goli ngapi Ila uache kuongopa
Kuna wachezaji pale tuli-flush pesa chooni. Harry Maguire na Aaron Wan Bissaka tungeweza kupata wachezaji wazuri sana kwa dau dogo sana.wan bissaka anatamani muda urudi nyuma, unasajiliwa kwa paundi million 50 baadae unawekwa nje na mchezaji asiyefikia nusu ya uwezo wa ashraf hakimi.
Manchester United inapocheza dunia yote ina furahaTulieni kazi ndo imeanza.View attachment 2120599
Sawa ndugu mtabiri itabirie team yako itachukua league tena liniKuanzia mwezi wa 3 mpaka wa 4, sisi tusiowapenda tutakuwa na furaha sana.
Nyumbu wengi watakimbia jukwaa.
Wengine wataanza kukonda.
Wengine watakosa raha.
RAHA ILIYOJE!View attachment 2120985
Aiseee kwa mpira huu bado labda miujizaManchester United inapocheza dunia yote ina furaha
Kimasihara masihara United msimu huu inachukua kombe UCL
Mi nnaimani tutaimarika zaidi kwenye mechi za Uefa na kimasihara masihara tunaenda kubeba kombe.Aiseee kwa mpira huu bado labda miujiza
Manchester United inapocheza dunia yote ina furahaKuanzia mwezi wa 3 mpaka wa 4, sisi tusiowapenda tutakuwa na furaha sana.
Nyumbu wengi watakimbia jukwaa.
Wengine wataanza kukonda.
Wengine watakosa raha.
RAHA ILIYOJE!View attachment 2120985
UEFA tukiwa serious tunafika nusu fainali, hatua hiyo naamini kwa uwezo wetu wa sasa ndiyo itakuwa ngumu maana tutakutana na wababe PSG au Madrid.Aiseee kwa mpira huu bado labda miujiza
Hukurudi broNitakuja kukujibu mechi ikiisha
UEFA tukiwa serious tunafika nusu fainali, hatua hiyo naamini kwa uwezo wetu wa sasa ndiyo itakuwa ngumu maana tutakutana na wababe PSG au Madrid.
Mkifanikiwa kufika nusu fainali utatupa mrejesho.Hivi psg ni team kweli ya kuogopa ......unaijua man city wewe ....