Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tumeshinda ila hii timu inahitaji miujiza.
Struggling against ten men tena wa BHA kweli?? Yani mpira umekuwa na pressure unatamani uishe
 
Sancho anajua nyie, lile li-Pogba liachwe kama lilivyo halafu liongezewe mkataba wa miaka 10

Leo hatukuwa tu na bahati, Brighton alikuwa anaoga nyingi ila li-Sanchez nalo huwa linajua sana moja ya makipa wanaofanya saves nyingi kwenye ligi.
 
Ronaldo alitakiwa aondoke na mpira leo basi tu!!
Anyway..tumeipenda wenyewe.......
 
Tumeshinda ila hii timu inahitaji miujiza.
Struggling against ten men tena wa BHA kweli?? Yani mpira umekuwa na pressure unatamani uishe
Usiwadharau kabisa Brighton wangekuwa kamili huenda mechi ingekuwa ngumu sana kwa dakika zilizobaki toka ilipotolewa red card. Kule mwishoni Brighton ndiyo kawaida yao kushambulia kwa kasi ya 4G na mechi zao nyingi huwa wanashinda au kusawazisha kwenye dk 10 za mwisho.

Mtaalamu Graham Potter.
 
Sancho anajua nyie, lile li-Pogba liachwe kama lilivyo halafu liongezewe mkataba wa miaka 10

Leo hatukuwa tu na bahati, Brighton alikuwa anaoga nyingi ila li-Sanchez nalo huwa linajua sana moja ya makipa wanaofanya saves nyingi kwenye ligi.
Jamaa hapotezi mipira ni mwendo wa mipasi tu

Sijui kwa nini kaanzia benchi..na hivi ni prone to injuries anatakiwa akiwa fit atumike haswaaaa
 
. Endapo kungekuwa na dirisha lingine dogo la February,basi na huyu Rashford ilitakiwa apelekwe akajifunze soka kama Martial.
. Fred kuna wakati unaweza kudhani sio mbrazil kwa jinsi anavyoshindwa kumiliki mipira vema.
. Mechi ya pili mfululizo namuona Pogba anayetaka mkataba mpya wa $500k kwa wiki. Ila kwa mtazamo wangu asipewe mkataba tusajili viungo wengine wawili.
 
Sancho anajua nyie, lile li-Pogba liachwe kama lilivyo halafu liongezewe mkataba wa miaka 10

Leo hatukuwa tu na bahati, Brighton alikuwa anaoga nyingi ila li-Sanchez nalo huwa linajua sana moja ya makipa wanaofanya saves nyingi kwenye ligi.
Sio hatukuwa na bahati, match zote toka ujio wa RR team inapiga pasi nyingi, inamiliki mpira shida kumalizia chances zinazotengenezwa..
 
Very underrated manager.. kocha mzuri sana huyu
 
Ndiyo maana hii timu ikipigwa watu wanacheka sana.

Imagine baada ya huu ushindi walivyoanza kusifu watu na kudai kazi ndiyo imeanza.
Acha kabisa, tungefungwa haya malalamiko unaeza sema kuna msiba kwenye huu uzi
 
Sio hatukuwa na bahati, match zote toka ujio wa RR team inapiga pasi nyingi, inamiliki mpira shida kumalizia chances zinazotengenezwa..
On target 7, saves 5.

99% ya hizo shots on target na saves ni 2nd half na tulifanikiwa kufanya hivyo baada ya red card na ingizo la Pogba. Bruno na Pogba walianza kutengeneza nafasi nyingi nzuri kwasababu majukumu ya ukabaji yalipungua ila Brighton wangekuwa kamili tusingeweza kucheza na lone DM mbele ya Brighton. Tunahitaji sana a proper DM kuona combo ya Bruno na Pogba.

Kwa on target 7 hatukuwa tu na bahati mbele ya Sanchez.
 
Hii kusema hatukuwa na bahati tunasema kila siku humu, rejea posts za nyuma..

Tuanzie match 3 za nyuma..

Vs Middlesbrough on target 9
Vs Burnley on target 5
Vs Southmpton on target 8

Ya Middle tukatoka kwa penalty, Burnley draw, Saints draw. Kama ilivyo kwenye set pieces, sio bahati, tunashindwa convert chances, ni tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…